mwali wako
Member
- Oct 22, 2018
- 36
- 29
Habarin bandugu,,Kama ambavyo heading inajinasibu hapo juu nahitaji kujua kama ni kati ya vile vyenye sumu. Japo sijaona vile viambatasumu ila nahofia tu kwahyo kama kuna aliyewah kutumia ama mtu wa karibu yake alimuonaje baada ya muda??
Natanguliza shukurani
Natanguliza shukurani