Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliona kama ana mpango wa kuamia flani hivi ile free ofa ilikuwa inanipeleka pabaya mkuuUlizingua sana Zero IQ.
Kama ulihofia kumfilisi banda lake, ungemuongezea mtaji ili akue kibiashara nawe uwe unapata Special order.
Ni halali akuchukie
ha ha ha ha akiamia kwako si ndio itakuwa vizuri muda wote unabutua tu.Sitaki slope mkuu nisije nikaua kibanda chake cha msosi akaamia kwangu
Ni kwanda na mtambowewe ni kiwanda bado magu kukuzindua tu....................!!!!!!
ha ha ha ha haSitaki mtu anitegemee kwa sasa mimi mwenyewe natosha mkuu
Kwa siku unaandika nyuzi ngapi?
Wale viumbe wanakuwaga hatari sana alafu asilimia 90 ya mama ntilie wote wana chura flani na hipsi teketeke,
Kuna mmoja alikuwa na mgahawa karibu na gheto kwangu, sasa ile kwenda kula kila siku akaniletea mazoea na mimi Zero sikufanya iyana nikamdibua/kumkanya /kummenya kweli kweli,
Kesho yake Asubuhi kwenda kupiga supu hataki kupokea hela, mchana msosi kanipa free na jioni ikaenda kama wiki mbili hivi kila nikimpa hela anakataa na jioni anakuja namdibua kama kawa nikaona nisije nikamfirisi akafunga kibanda chake cha msosi nikatemana nae sasa hivi ananichukia kiasi kwamba ata nikitaka kwenda kununua msosi anavunga.
View attachment 1102057
Cc Zero IQ
Pamoja na kumtindua lakini bado nilikuwa nikienda pale nadaiwa hela ya msosi..Heshims kwa wapare wote aisee
ha ha ha ha majukumu mazito hayo mkuu siyaweziVipi nikuhamishie kwako mkuu