Mapinduzi yalikuwa lazima yafanyike ili kuondowa Wakoloni na vizazi vyao.
Mapinduzi sio Taarabu ni mapambano dhidi ya Wafalme mabeberu waliotawala kwa Upanga.
Unapotawala kwa upanga utatolewa kwa Upanga Unfortunate
Ujinga ni mzigo sana. Wakoloni walifunga waafrika minyororo na kuwatesa walivyotaka. Wengi walikufa katika hali hiyo, mbona Ulaya iko mbali kwa maendeleo?! Ulaya, Amerika na Far East zingekuwa za kwanza kulaaniwa. Lakini wapi?!Waliuwa watu karibu 20,000 kwenye mapinduzi yale na wanendelea kuua na kutesa watu hadi hi leo. Ni ngumu sana hii nchi kuendelea kwa Laana hii, hata tungekepewa rasilimali za ulimwengu mzima tungekua maskini tu. Kinachosikitisha zaidi ni kuona common Men wakishabikia mambo ya kikatilia kama haya.
View attachment 2482387
Define laana.
Yaani wanaume kuolewa na wanaume na wanawake kuolewa na wanawake au majibwa unaona ni maendeleo ? Au umo kwenye biashara hiyo ?Ujinga ni mzigo sana. Wakoloni walifunga waafrika minyororo na kuwatesa walivyotaka. Wengi walikufa katika hali hiyo, mbona Ulaya iko mbali kwa maendeleo?! Ulaya, Amerika na Far East zingekuwa za kwanza kulaaniwa. Lakini wapi?!
Yaani wanaume kuolewa na wanaume na wanawake kuolewa na wanawake au majibwa unaona ni maendeleo ? Au umo kwenye biashara hiyo ?
Nadhani najibizana na tahira. Hiyo gadget unayotumia kusugua tako laki hapa JF kupost ilitengenezwa na mama yako kama siyo Hao wazumgu? Kwako maendeleo ni kitu gani?Yaani wanaume kuolewa na wanaume na wanawake kuolewa na wanawake au majibwa unaona ni maendeleo ? Au umo kwenye biashara hiyo ?
Watu wa hovyo sana wamejaa JF siku hizi, huyo akiwa moja waoKila mkiongelea wazungu akili zenu haziwezi kuwaza mambo mengine zaidi ya mitindo ya ngono??
Ilipinduliwa serikali ya Mohammed shamte,Waziri mkuu wa Zanzibar aliyeshinda uchaguzi, Mohammed shamte ni mweusi tiiMapinduzi yalikuwa lazima yafanyike ili kuondowa Wakoloni na vizazi vyao.
Mapinduzi sio Taarabu ni mapambano dhidi ya Wafalme mabeberu waliotawala kwa Upanga.
Unapotawala kwa upanga utatolewa kwa Upanga Unfortunate
Sawa Kama unaona kuzibuana mitaro ni maendeleo , labda ndiyo biashara yakoNadhani najibizana na tahira. Hiyo gadget unayotumia kusugua tako laki hapa JF kupost ilitengenezwa na mama yako kama siyo Hao wazumgu? Kwako maendeleo ni kitu gani?
Tumia akili kujenga nchini achana na notion ya kitu inaitwa laana kwa nchi.
Kwani wewe ni mtoto si rizki?Kila mkiongelea wazungu akili zenu haziwezi kuwaza mambo mengine zaidi ya mitindo ya ngono??