Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,393
Mmmh ... Nyota!!!!
Lengo ni kushare same birthdate! Nimezaliwa tarehe hiyo pia!
Siri kubwa hiyo !!
una matatizo makubwa ww,na yatakukuta tu ,yani kisa mzaliwe siku moja???WW UNASHIDA WW
Eeh kumbe sihusiki hapa....kila la heri
Mh mbona mimi nimezaliwa tareh 14.5 Jan itakuwaje?embu approxmate basi ujue sina rafiki!!loh
Haya 31st october mko wapi...lol..
Mmmh ... Nyota!!!!
Unatoa Offer wakati wewe ndio mwenye shida ya urafiki na uchumba...Sema naomba offer alaaaah...