Kwa waliozaliwa January 15 tu!

Kwa waliozaliwa January 15 tu!

Offline User

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
3,828
Reaction score
2,393
Hey ladies;
Natoa 'offer' ya urafiki utakaopelekea uchumba kwa msichana aliezaliwa Jan 15, mwenye miaka 20-30. Lengo ni kuwa na rafiki ninaye-share naye 'birthdate'. Nimezaliwa tarehe hiyo pia. Mengine tutaelezana kwa PM.
 
una matatizo makubwa ww,na yatakukuta tu ,yani kisa mzaliwe siku moja???WW UNASHIDA WW
 
Unatoa Offer wakati wewe ndio mwenye shida ya urafiki na uchumba...Sema naomba offer alaaaah...
 
Mh mbona mimi nimezaliwa tareh 14.5 Jan itakuwaje?embu approxmate basi ujue sina rafiki!!loh
 
Nimezaliwa tar 14 Sept......nitafaa.....?
 
Unatoa Offer wakati wewe ndio mwenye shida ya urafiki na uchumba...Sema naomba offer alaaaah...

Ni offer kwa sababu siku hizi mwanamke kuolewa ni bahati ya mwaka! Ni ajira pia kwa dada zetu!
 
Back
Top Bottom