Kwa waliwahi kuomba kazi Ubalozi wa Marekani

Kwa waliwahi kuomba kazi Ubalozi wa Marekani

Burungutu sandawesu

Senior Member
Joined
Sep 11, 2022
Posts
153
Reaction score
261
Habari, kwa yoyeto alieomba kazi ubalozi wa marekani administaritive clerk au utillity clerk post za mwezi wa nane kuna aliyepata majibu yoyote.

Kuna yoyote status imebadilika kule kwenye account maana wengine still ipo no comment na kwawalio wahi fanya usaili au kukmba kazi ubalozi wa marekani huchukua muda gani either kuita walio qualify for interview au kubadili status kwenye era account kuwa either shortlisted au not shortlisted au vyovyote vile
 
Habari, kwa yoyeto alieomba kazi ubalozi wa marekani administaritive clerk au utillity clerk post za mwezi wa nane kuna aliyepata majibu yoyote..kuna yyte status imebadilika kule kwenye account maana wengine still ipo no comment..na kwawalio wahi fanya usaili au kukmba kazi ubalozi wa marekani huchukua muda gani either kuita walio qualify for interview au kubadili status kwenye era account kuwa either shortlisted au not shortlisted au vyovyote vile
Mi nishaomba sana ila sijawai pata majibu yoyote
 
Mwaka 2009 niliwahi kuomba nafasi kwenye ubalozi huo ilichukua kama miezi miwili nakumbuka kutuma email ya interview ya kwanza. Ambao nilishia hapo ya kwanza

Ila maswali waliouliza mengi ni yale niliojaza kwenye ile Ac na mm sikujaza serious nilijazia tu vitu vingi vya kubuni tu ikanigharimu kuvitetea

Ila pia wanitumia email kwa nini sikuchaguliwa hawana longolongo
 
Asante kwa taarifa mkuu
 
Asante kwa taarifa mkuu
Swali la kwanza Waliniuliza who are you?

Kwa nn nimeomba kufanya nao kazi

Then nafaham ugaidi, then kama namfaham osama, sasa sijajua mantiki ya maswali haya.

Then plan yangu ya miaka 5 ijayo.

Nikipewa mil 600 nitafanyia nini

Nilliulizwa refaree wangu
Waliuliza kuhusu maamuzi magumu nimewahi fanya niliandika kwa cv mm ni mtu wa kufanya mamuuz magumu

Nilipewa karatasi nitengeneze balance sheet ya mradi wangu maana niliandika kwa cv mm ni mjasiriamali
Ni baadhi ya maswali ninayokumbuka
 
Back
Top Bottom