Burungutu sandawesu
Senior Member
- Sep 11, 2022
- 153
- 261
Mi nishaomba sana ila sijawai pata majibu yoyoteHabari, kwa yoyeto alieomba kazi ubalozi wa marekani administaritive clerk au utillity clerk post za mwezi wa nane kuna aliyepata majibu yoyote..kuna yyte status imebadilika kule kwenye account maana wengine still ipo no comment..na kwawalio wahi fanya usaili au kukmba kazi ubalozi wa marekani huchukua muda gani either kuita walio qualify for interview au kubadili status kwenye era account kuwa either shortlisted au not shortlisted au vyovyote vile
Pole na usichoke kupambana brotherMi nishaomba sana ila sijawai pata majibu yoyote
System yao inaitwa rea...unafungua account unajaza taarifa zako humo...maswali kama 70 hivi mpaka yaishe..then humo ndio utaaply kazi husika..Na huwa ukitaka kuomba unatumia system au Manual? kama ni system kuna yeyote anayejua areply site inaitwaje?
Asante kwa taarifa mkuuMwaka 2009 niliwahi kuomba nafasi kwenye ubalozi huo ilichukua kama miezi miwili nakumbuka kutuma email ya interview ya kwanza. Ambao nilishia hapo ya kwanza
Ila maswali waliouliza mengi ni yale niliojaza kwenye ile Ac na mm sikujaza serious nilijazia tu vitu vingi vya kubuni tu ikanigharimu kuvitetea
Ila pia wanitumia email kwa nini sikuchaguliwa hawana longolongo
Swali la kwanza Waliniuliza who are you?Asante kwa taarifa mkuu
mbona niki google rea inaniletea ya umeme wa vijijini?
Sorry brother ni era
Asante sana.Sorry brother ni era
Hee ..huwa unacheki emails zako?Hii GSO housing niliomba tangu mwaka jana mwishoni hadi leo kimya