Mama ndio muhimu wengine siwaoni wanaokua na cheo kama chake,kwaupande wangu hakuna mtu atachukua nafasi yake...Kumpenda na kumheshimu mtu kunatokana na mambo mengi,hakuji hivi hivi tu,na haijalishi ni nani!
Duuh kuna watu wanamaisha magumu, kuwa na **** kama hilo nyumba its psychological torture. Mungu azidi kuwapa nguvu.
Mama ndio muhimu wengine siwaoni wanaokua na cheo kama chake,kwaupande wangu hakuna mtu atachukua nafasi yake...
ni kweli aisee!halafu huyu mama kuonyesha mapenzi kwa mumewe,pamoja na ulevi wote wa mwanaume ktk kipindi hicho cha miaka kumi na tano ,akazaa tena mtoto ambae ana miaka kumi sasa!huyu ni mwanamke wa kipekee!
ni kweli aisee!halafu huyu mama kuonyesha mapenzi kwa mumewe,pamoja na ulevi wote wa mwanaume ktk kipindi hicho cha miaka kumi na tano ,akazaa tena mtoto ambae ana miaka kumi sasa!huyu ni mwanamke wa kipekee!
Kinachonifanya niwatambue na kuwapongeza WANAWAKE wa ukweli ni jambo ambalo nimekua ninalishuhudia karibu kila siku kwa rafiki yangu mmoja.Huyu jamaa,baba yake ni mlevi sana,hajui wanae wanakula nini na wanalalaje. . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Nilimuuliza yule jamaa yangu kuwa wapo kw kwenye maisha hayo kwa muda gani akaniamba kuwa ni muda mrefu umepita tangu baba yake aanze tabia hiyo,aliniambia ni miaka 15 sasa.Yeye baba huondoka asubuhi na hurudi usiku akiwa amelewa. . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . , . . . . . . . . . . . .Kijana ameniambia kuwa amekua akimsikia mama yake akimlalamikia baba yake kila asubuhi juu ya tabia yake ya ulevi.Mdogo wake wa mwisho jamaa yangu ana miaka 10,yani ina maana huyu amekua kwa nguvu ya mama peke yake,huyu mama ni mama lishe.Huyu mama ni mama hasa,ameweza kuilea familia pamoja na dume lisilokua na maana kwa miaka 15,sijui ataendelea na majukumu hayo kwa muda gani. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Nampongeza sana huyu mama,pia nawapongeza wanawake wengine wote wanaojituma kwaajili ya familia zao.Japokua ni wachache,nawapongezeni,lakini nawapa pole wanawake ambao wana wanaume wa hovyo kama huyu!
wanaume wote ni hao hao tena wasiokuwa nakitu ndo wabaya zaidi unaweza uanze nae kwa kulala chini siku mkinunua kitanda asilale na wewe kwenye hicho kitanda....akalala na mwenzake...gfsonwin,kinachonishangaza siku hizi ni kwamba,wadada wa siku hizi wamekua wa hovyo sana.Hawataki kutaabika,wao wanataka maisha ya mtelezo.Wanataka mume atakaewaoa wamkute ana gari,nyumba n.k,hawajui kuwa maisha ya namna hii ni maisha ya kitumwa kabisa.Ukimkuta mtu tayari ana mali lazima atakunyanyasa tu.Tafuta asiekua nacho muanze na mtaheshimiana!
wanaume wote ni hao hao tena wasiokuwa nakitu ndo wabaya zaidi unaweza uanze nae kwa kulala chini siku mkinunua kitanda asilale na wewe kwenye hicho kitanda....akalala na mwenzake...
daaah kuombeana kifo sio fair.....lakini wababa wengi ulevi umewaathiri vibaya mno ...asilimia zaidi ya 70 ya wanawake wa kitananzania wanaishi maisha hayo!
nakumbuka kuna rafiki zangu walikua wanamwomba Mungu baba yao afe.......maana alkua hafanyi chochote! hajawahi tafuta msosi, wala mavazi, wala kuwasomesha yote amekua anafanya mama yao na juu ya hapo huyo mama kila siku alkua anapokea kipigo na watoto kufukuzwa na kulala nje anapokuja amelewa.
maisha mabaya sana haya
It seems like,u don't agree with what this woman did for the past 15 years!
Well, uvumilivu una kikomo 15yaz :nono: :nono:, bali nampongeza kuwa subira lakini angefanyia panapostahili zaidi.
Eiyer mi hii sentesi inatosha kuwakilisha mawazo yangu. . . . . Nampongeza sana huyu mama,pia nawapongeza wanawake wengine wote wanaojituma kwaajili ya familia zao.Japokua ni wachache,nawapongezeni,lakini nawapa pole wanawake ambao wana wanaume wa hovyo kama huyu!