Kwa wamama,wanawake wote wa ukweli. . . . !

Huyo mama angemtimua tu huyo mwanaume akafie mbele kuliko kujihesabu anaishi na mume wakati mume mwenyewe mweupe.
 
Is that the reason u call youself Madame X?. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Ni wapi panapostahili uvumilivu wa aina hii?

Kama angepata ulemavu fulani, naweza kustahmili ni kitu binadamu hapangi au ugonjwa utaomuweka kitandani bila kujitegemea.
Sasa hapo huoni huyo mama analea matatizo yasiyo na suluhisho.
 
Huyo mama angemtimua tu huyo mwanaume akafie mbele kuliko kujihesabu anaishi na mume wakati mume mwenyewe mweupe.

Una mtoto?Ulishawahi kuwa kwenye ndoa?
 
binadamu yeyote anaweza kubadilika kabisa maisha yake either yakawa bora au yakadrop hadi kufikia kuchanganyikiwa, kuna sababu nyingi nyingi sana zinazoweza kupelekea hali hiyo. maisha yakibadilika kuwa bora huwa kuna athari zake pia, wkt mwingine si kila pesa inayoingia kwenye family huwa ni baraka! kuna baadhi ya familia zimesambaratika baada ya 'utajiri' kuingia nyumbani, wengi ni mashahidi wa (kwa hali hii hasa wanaume) wanaume kutelekeza/kuachana na wake zao na kupata dogodogo/mke mpya anaeona kwa wakati huo analingana na hadhi yake ya kipato na kusahau alikotoka hivyo kuleta maisha ya mashaka kwa mke na watoto. lakini pia kwa wanawake hali hiyo hutokea ingawa kwa idadi chache. ila kwa hali inapokuwa mbaya mara nyingi wanawake hukosa uvumilivu na kuwabwaga waume zao, mifano ni mingi sana. ila kwa wanawake ambao wanakubali kufa kiingereza na tai shingoni kweli ni wachache na wengi hufanya hayo kwa ajil ya watoto wao. wanawake wenye huruma hatakubali kuacha familia yake isambaratike no matter what, kama mume hafai kwa ulevi basi atasimama kwa nasi zote mbili, atamlea mume na watoto. mama mmoja hujiita mjane kwa kuwa ana mume chapii, malaya n.k. anafanya majukumu yake yote ya msingi bila kujali kama ana mume kajihesabu mjane. wanawake wengi hupenda kipengele cha 'for better' tu ila for worse hakiwahusu
 
Kinachonifanya niwatambue na kuwapongeza WANAWAKE wa ukweli ni jambo ambalo nimekua ninalishuhudia karibu kila siku kwa rafiki yangu mmoja.Huyu jamaa,baba yake ni mlevi sana,hajui wanae wanakula nini na wanalalaje. . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Nilimuuliza yule jamaa yangu kuwa wapo kw kwenye maisha hayo kwa muda gani akaniamba kuwa ni muda mrefu umepita tangu baba yake aanze tabia hiyo,aliniambia ni miaka 15 sasa.Yeye baba huondoka asubuhi na hurudi usiku akiwa amelewa. . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . , . . . . . . . . . . . .Kijana ameniambia kuwa amekua akimsikia mama yake akimlalamikia baba yake kila asubuhi juu ya tabia yake ya ulevi.Mdogo wake wa mwisho jamaa yangu ana miaka 10,yani ina maana huyu amekua kwa nguvu ya mama peke yake,huyu mama ni mama lishe.Huyu mama ni mama hasa,ameweza kuilea familia pamoja na dume lisilokua na maana kwa miaka 15,sijui ataendelea na majukumu hayo kwa muda gani. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Nampongeza sana huyu mama,pia nawapongeza wanawake wengine wote wanaojituma kwaajili ya familia zao.Japokua ni wachache,nawapongezeni,lakini nawapa pole wanawake ambao wana wanaume wa hovyo kama huyu!
ana uvumilivu usio na kikomo. sina uhakika 'upendo wa dhati' unaweza kuvumilia haya maisha, more likely anavumilia kwa ajili ya watoto. Either way nampongeza kwa kujali wanawe zaidi ya masimango anayoyapata

gfsonwin,kinachonishangaza siku hizi ni kwamba,wadada wa siku hizi wamekua wa hovyo sana.Hawataki kutaabika,wao wanataka maisha ya mtelezo.Wanataka mume atakaewaoa wamkute ana gari,nyumba n.k,hawajui kuwa maisha ya namna hii ni maisha ya kitumwa kabisa.Ukimkuta mtu tayari ana mali lazima atakunyanyasa tu.Tafuta asiekua nacho muanze na mtaheshimiana!
kuna tofauti kati ya taabu 'halisi' na taabu 'za kujitakia'

binadamu yeyote anaweza kubadilika kabisa maisha yake either yakawa bora au yakadrop hadi kufikia kuchanganyikiwa, kuna sababu nyingi nyingi sana zinazoweza kupelekea hali hiyo. maisha yakibadilika kuwa bora huwa kuna athari zake pia, wkt mwingine si kila pesa inayoingia kwenye family huwa ni baraka! kuna baadhi ya familia zimesambaratika baada ya 'utajiri' kuingia nyumbani, wengi ni mashahidi wa (kwa hali hii hasa wanaume) wanaume kutelekeza/kuachana na wake zao na kupata dogodogo/mke mpya anaeona kwa wakati huo analingana na hadhi yake ya kipato na kusahau alikotoka hivyo kuleta maisha ya mashaka kwa mke na watoto. lakini pia kwa wanawake hali hiyo hutokea ingawa kwa idadi chache. ila kwa hali inapokuwa mbaya mara nyingi wanawake hukosa uvumilivu na kuwabwaga waume zao, mifano ni mingi sana. ila kwa wanawake ambao wanakubali kufa kiingereza na tai shingoni kweli ni wachache na wengi hufanya hayo kwa ajil ya watoto wao. wanawake wenye huruma hatakubali kuacha familia yake isambaratike no matter what, kama mume hafai kwa ulevi basi atasimama kwa nasi zote mbili, atamlea mume na watoto. mama mmoja hujiita mjane kwa kuwa ana mume chapii, malaya n.k. anafanya majukumu yake yote ya msingi bila kujali kama ana mume kajihesabu mjane. wanawake wengi hupenda kipengele cha 'for better' tu ila for worse hakiwahusu
padre anasema, '' will u love and cherish her/him for better or for worse for as long as both shall live'' kama hautimizi kipengele cha kwanza usitegemee mwenzio atimize cha pili
 
mbona kesi kama hizi ni nyingi tu hapa dar..........kuna mama mmoja alikuwa jirani yetu acha tu...........huyu mama amevumilia mengi ni mama lishe pia na hapa alipo anasomesha mtoto wa kwanza yuko chuo wengine wako sekondari...............huyu baba awajali watoto wake kwa lolote na mke wake alimpa mtaji akaenda kuoa mwanamke mwingine can u imagine................huyu mama anateseka mwenyewe na watoto wake mwanaume hana mpango wowote.

na ukute huyu mwanaume baadaye atakuja kusema watoto wangu nimewasomesha kwa shida...........nyambafu .
 
Kaka KIKUNGU na Eiyer nimependa mchango wa gfsonwin tuliolelewa back then.

Kuhusu limbwata ya kumfanya dad awe irresponsible na drunkard sijui maana hata Dhana yake halisi mimi nilifikiri ni 'kumthibiti mume' au kumfanya asitoke nje.

I have 1st hand experience growing up with a superb mom n not so responsible n drunkard father (may his soul rest in peace). Kitu ninachojua kutoka kwa baba (ambaye alikuwa na uwezo tu) ni ada ya govt school, na uniform; the rest ni mama.

Kuna kipindi wajomba walifikia hatua ya kutaka kumchukua dada yao (namshukuru mama kwa kutufikiria sisi kwanza). Baba ilikuwa ni stool ndefu na yeye yeye na stool ndefu. Anyway wote tulisoma na tukakuwa, being a last born sikupata shida yoyote kwani misaada ya wakubwa zangu ilikuwa ya kunispoil!

Anyway alikuja kuacha pombe kwa nguvu ya prayers na kutokana na yeye kuna ndugu zangu kibao hawajaigusa pombe because of baba mimi.

you said it well Kaunga, unajua tatizo linakuja sasa kuwa watu wengi hasa akina mama siyo wavumilivu tena kama walivyokuwa wazazi wetu na hii imechangiwa zaid na elimu pamoja na tamaduni kubadilika lakin pia isistupe nafasi ya kuona kwamba suluhu ya maudhi ya wenzi wetu ni kutengana.

mfano mzuri mimi mama yanu asingevumilia ningekuwa n mama niliyelelewa na mzazi mmoja tu, lakin alivumulia na katuea na mpaka sasa they are enjoying life at their old age. nijuavyo mimi haikuwa kazi rahisi hata kidogo lakini alichoa ngalia ni watoto waketutakuaje? hakuangalia wala uwezo aliokuwa nao manake ALIKUWA ANAFANYA KAZI NZURI SANA PALE KIA na baba hakuwa wala na mshahara wa mama ila alivumilia ishu ni kwa mimi mama wa leo kitokee kitu tu tayari umesha wah kwa lawyer ku file divorce hivi kweli are we serious?
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin,siyapendi sana maisha ya kileo leo.Nayachukia kwa sababu yamepoteza uhalisia,uhalisia wa maisha ni taabu na raha pamoja na mgawanyo wa majukumu.Sasa naendelea kujua ni kwa nini Mungu aligawa majukumu kwa mke na mume!
 
My love,Kaunga,mambo poa!Mzima lakini?Nimekumisijee?Huku Rock city jua linazidi kuwa kali,bajeti nayo hovyo. . . . . . . . . . . . . . .Mwaka huu tutaipata fureshi aiseee!
 
Bishanga nawasomeni tu.........nitarudi baadae kurusha bomu hapa.
 
binadamu yeyote anaweza kubadilika kabisa maisha yake either yakawa bora au yakadrop hadi kufikia kuchanganyikiwa, kuna sababu nyingi nyingi sana zinazoweza kupelekea hali hiyo. maisha yakibadilika kuwa bora huwa kuna athari zake pia, wkt mwingine si kila pesa inayoingia kwenye family huwa ni baraka! kuna baadhi ya familia zimesambaratika baada ya 'utajiri' kuingia nyumbani, wengi ni mashahidi wa (kwa hali hii hasa wanaume) wanaume kutelekeza/kuachana na wake zao na kupata dogodogo/mke mpya anaeona kwa wakati huo analingana na hadhi yake ya kipato na kusahau alikotoka hivyo kuleta maisha ya mashaka kwa mke na watoto. lakini pia kwa wanawake hali hiyo hutokea ingawa kwa idadi chache. ila kwa hali inapokuwa mbaya mara nyingi wanawake hukosa uvumilivu na kuwabwaga waume zao, mifano ni mingi sana. ila kwa wanawake ambao wanakubali kufa kiingereza na tai shingoni kweli ni wachache na wengi hufanya hayo kwa ajil ya watoto wao. wanawake wenye huruma hatakubali kuacha familia yake isambaratike no matter what, kama mume hafai kwa ulevi basi atasimama kwa nasi zote mbili, atamlea mume na watoto. mama mmoja hujiita mjane kwa kuwa ana mume chapii, malaya n.k. anafanya majukumu yake yote ya msingi bila kujali kama ana mume kajihesabu mjane. wanawake wengi hupenda kipengele cha 'for better' tu ila for worse hakiwahusu

jaman jaman hao wanawake mnaosema si wavumilivu wengi ni wa mjini tu ...umeenda vijijini huko ukaona wamama wanishi katika hal igani??.. acha kabisa na kuhusu uvumilivu ni rahisi sana kusema lakini siri ya mtungi aijuaye kata usione mtu kaondoka kwenye ndoa ukadhani hakuwa mvumilivu! ni kweli wanawake wanahuruma lakini kila kitu kinaukomo
 
Kijijini nako kuna changamoto zake,pengine zaidi ya mjini!
 
My love,Kaunga,mambo poa!Mzima lakini?Nimekumisijee?Huku Rock city jua linazidi kuwa kali,bajeti nayo hovyo. . . . . . . . . . . . . . .Mwaka huu tutaipata fureshi aiseee!

Tutasavaivu bwana, kitu kubana matumizi tu; mradi upendo upo au vipi?
 
Back
Top Bottom