Kwa wamiliki wa jamii Forum kuhusu App na website yao

Kwa wamiliki wa jamii Forum kuhusu App na website yao

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,071
Reaction score
1,361
Kwema wakuu

KIla kitu kina mapungufu yake na mazuri yake hapa nataka kueleza mapungufu zaidi.

1.Haina real time kabisa mpaka u refresh ndo uweze kuona message na notifications.

2. Kwenye recently post zina jirudia rudia hata kama tayari umeshaisoma yaani inabdi ukiisoma itoke ila cha ajabu ndo hvo haifanyi

Nimetumia hii app kwa miaka 9 so nilichoandika hapa nina uhakika nacho.
 
Inawezekana mkuu sema hio real-time ni feature ya kulipia na inaongeza load sana kwenye server, sijajua kama ina lipa kuweka. Labda uliza jukwaa la malalamiko mkuu kama Jf wenyewe watakujibu.

Demo ya realtime

View: https://youtu.be/h2kalXgz_7I

Au watakua wanatumia PHP ? Sema node na react si real time kwa kutumia websocket?
 
Jamiiforums imeanza mwaka mmoja tu baada ya Facebook na mwaka mmoja kabla ya Twitter, and still ipo vilevile, old school forum

Una active users halafu innovation 0.

Huhitaji hata fancy machine learning algorithm ku personalize content na ku boost engagement, classic user based collaborative filtering algorithm inatosha tu na itakua na impact kubwa tu

Zero innovation

Why not creating alternative anyway, anayehisi tunahitaji new modern platform kuji connect, a comment humu inawezekana
 
Kabisaa mkuu
 
Back
Top Bottom