The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Na haiwezekani ? Vp real time je?Mkuu recent posts sio thread bali comment, kama thread husika inapokea comments nyingi haraka haraka basi itakaa sana kwenye recent.
Inawezekana mkuu sema hio real-time ni feature ya kulipia na inaongeza load sana kwenye server, sijajua kama ina lipa kuweka. Labda uliza jukwaa la malalamiko mkuu kama Jf wenyewe watakujibu.Na haiwezekani ? Vp real time je?
Anhaaa sawa mkuu Asante kwa MuongozoInawezekana mkuu sema hio real-time ni feature ya kulipia na inaongeza load sana kwenye server, sijajua kama ina lipa kuweka. Labda uliza jukwaa la malalamiko mkuu kama Jf wenyewe watakujibu.
Demo ya realtime
View: https://youtu.be/h2kalXgz_7I
Au watakua wanatumia PHP ? Sema node na react si real time kwa kutumia websocket?Inawezekana mkuu sema hio real-time ni feature ya kulipia na inaongeza load sana kwenye server, sijajua kama ina lipa kuweka. Labda uliza jukwaa la malalamiko mkuu kama Jf wenyewe watakujibu.
Demo ya realtime
View: https://youtu.be/h2kalXgz_7I
Ndio maana niliifuta natumia webHakuna app ya hovyo kama ya JF takataka kabisa.
Kabisaa mkuuJamiiforums imeanza mwaka mmoja tu baada ya Facebook na mwaka mmoja kabla ya Twitter, and still ipo vilevile, old school forum
Una active users halafu innovation 0.
Huhitaji hata fancy machine learning algorithm ku personalize content na ku boost engagement, classic user based collaborative filtering algorithm inatosha tu na itakua na impact kubwa tu
Zero innovation
Why not creating alternative anyway, anayehisi tunahitaji new modern platform kuji connect, a comment humu inawezekana