Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

.......ila Nissan note haijahongwa kama vitz na ist..[emoji23][emoji23]
Mkuu umenipa hamasa sana kuhusu hii mashine...Nina mambo machache nataka nikuulize.
1. Vp kuhusu uimara wake kwenye hizi barabara zetu za kizalendo ukilinganisha na brands za Toyota km ist,raum,allex etc...
2. Vp inafaa kuinyanyua kidogo ili isigonge chini
3. Inagharimu kiasi gani cha pesa ukiagiza toka Japan???
Aksante sana
 
1..kwa upande wa uimara ninclass moja na hizo ist, raum na nyinginezo za size hiyo.

2.Matatizo common niliyokutana nayo ni kuisha kwa wish bone bush kwenye miguu ya mbele..
Hizi bush zipo mbili...moja kila upande...huwa nanunua 20k each kwa mwaka mara moja coz kila siku napita nayo angalau km 2 rough road...na rough road ninayozungumzia ni huku meru..mawe mawe na vilima...

3..yangu niliinyanyua kwa kuweka spacer za nchi moja coz hii gari mara nyingi inakuja na rim size 14 Tyre 175/65 r14....so inakuwa ipo chini...

.....mwisho ....haya magari yote madogo ya kuanzia 2005 haijqlishi ni NISSAN, TOYOTA, HONDA, MAZDA nk.....yana uimara unakaribiana kwa karibu sana.....
kwa hiyo suala kubwa ni utunzaji na nidhamu.

5. Bei kule beforwad FOB zipo mpaka 800$.....CIF kuanzia hata 1800 kulingana na mileage
 
No wonder Nissan Civilian City Buses zimekuwa nyingi kuliko Toyota Coaster sahivi. Hongera wapenzi wa Nissan!
Nissan civillian ni kama kanisa la KKKT wakati Coaster ni kama kanisa la Roma... KKKT inakuja juu sana. Miaka michache ijayo, Roma watakaa chini ya KKKT... Kwa sasa KKKT ndo kanisa lenye majengo makali hapa mjini.
 

Nimenunua Nissan note mbili tofauti, ya 2008 na 2009.

Kwa maoni yangu ni gari Bora sana kuzidi gari ya class yake kama spacio ambayo inafanana sana na Note.

Jamaa yangu alikuwa na Spacio nami nikawa na note,

Driving feeling ya hizi gari mbili ni tofauti sana. Ukiwa na note utahisi gari inakamata Barabara vzr wakati spacio ni kama haishiki barabara.

Uimara wa vifaa ni mkubwa, mfano mimi huwa nasafiri nayo safari nyingi sana. Unaweza mguu ukawa una kelele lakini ninatumia mwaka mzima bila shida.

Kwa maoni yangu, Nissan Note ni gari ngumu sana japo wengi Hawaijui.

Mengine yote, majibu ni kama aliyokupa mdau.
 
absolutely truth.....japo kuna watu watabisha.....
 
Nashukuru Sana Mkuu...umefunguka mpaka basi... thanks a lot...
 
Nissan civillian ni kama kanisa la KKKT wakati Coaster ni kama kanisa la Roma... KKKT inakuja juu sana. Miaka michache ijayo, Roma watakaa chini ya KKKT... Kwa sasa KKKT ndo kanisa lenye majengo makali hapa mjini.
Una uhakika mkuu...
 
Aksante sana Mkuu...
Vp mpaka kuliweka barabarani ilikugharimu Tsh. ngapi???
 
Aksante sana Mkuu...
Vp mpaka kuliweka barabarani ilikugharimu Tsh. ngapi???

Niliagiza lea 5.5 nikaitoa kwa 6.4 hivi. Nilimtumia kama 13 fulani hivi. Labda kwa kuwa ni ya 2009 na niliiagiza last year
 
Nissan note nayo unaiita machine?hahah
 
Nissan Rasheen! Datsun...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…