Wewe una visa na Beatrice, haikusaidii lolote.Una akili za kitoto sana
Bado una uelewa mdogo sana wa mambo
Maisha sio nafasi serikalini tu, Gerson Msigwa baada ya kuacha ile nafasi, Umewahi kutana nae ukamuona alivyo kwa sasa?
Huyo Zuhura hata angekataa hiyo nafasi ana exposure kubwa sana na yupo 100 steps more kuliko huyo alieachishwa Haniu au mstaafu Gerson Msigwa
Unaandika kama mtoto wa chekechea, Unachoandika hakijulikani ni hotuba, Risala, Ngonjera au Shairi
Uandishi wako umekaa kama mtu aliyezidiwa na pombe
Uandishi wako wewe ndio wa chekechea. Mtu aliyestaarabika , civilized, hawezi nimeandika mwenzake katika ngeli yako ya kihuni na uncooth. Take care!