Kwa wana Diaspora tunavyomfahamu Zuhura Yunus, ni Mtanzania ila Salim Kikeke ni raia wa Uingereza

Wewe una visa na Beatrice, haikusaidii lolote.
Uandishi wako wewe ndio wa chekechea. Mtu aliyestaarabika , civilized, hawezi nimeandika mwenzake katika ngeli yako ya kihuni na uncooth. Take care!
 
Bila shaka mamlaka zetu huwa zinafanya vetting, kama kweli mhusika si Mtanzania na hajawahi kuukana uraia wa Uingereza basi itakuwa ni big failure kwa mamlaka na system nzima na binafsi itanifanya niamiani either kuna vilaza kwenye system na watu wasio serious au hakuna coordination kwenye ufanyaji wa kazi kati ya mamlaka za uteuzi na wazee wa vetting.
 
Mkuu vijana wanatamani kutoka ila ukiritimba wanaoletewa pale immigration utashangaa.

Watanzania wana upendo kwenye mambo yasiyo na tija sana kama Simba na Yanga.

Ila mtu akipata chance ya kwenda ughaibuni kwanza ndugu wataanza wivu ,mara usiende huko hakuna issue basi wamkatishe tamaa na akienda akafanikiwa basi mzigo wa matatizo yao wanamsukumizia yeye.

Suala la mentality ya watanzania walio nje ilizidi kuonekana awamu ya 5 nchi ilipotea kidiplomasia na yule dikteta akafanya tulio nje tuonekane sio wazalendo kumbe hakuna uhalisia wowote.
 
Kuna vetting inafanyika wapi? anateua la saba kuwa RAS-Shinyanga asubuhi anatengua mara UVCCM mkuu wa bandari kesho anatengua. Hakuna vetting yoyote mkuu
 
Nimefuatilia taarifa zinazosambaa kwamba Zuhura Yunus ni raia wa Uingereza nachelea kuziamini na kama Zina ukweli basi atakuwa ameupata huo Uingereza Kwa Siri sana. Nafasi aliyopewa lazima tukubali mambo makuu matatu...
Maza sahivi anachoangalia ni uislamu mengine baadae
 
Hatuna uraia pacha
 
Ni mifano mizuri

Bahati mbaya hoja hapa ni position aliyopata Zuhura

We can claim all we want, like janjaweed ni muingereza of Tanzania origin , lakini kuna limitations za status hiyo

Nafasi nyeti kama za state house mara nyingi ni za ndani Kwa raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…