Kwa hiyo your presence hapa ni kwa kuwa umekula BAN kutoka huko the OTHER HOUSE?you go and visit other houses that welcomes you with both hands.......you tell them why they locked you out of their house.....NILIWAHI KULA BAN KWA KUSEMA .....HALI HALISI NI KUBENEA......SO NIKAPITA INTO OTHER HOUSE ...THEY WELCOMED ME AND ENJOYED A LOT THE LIFE OUT THERE...!
Wengi wanafanya hivyo!Binafsi nadhani ntatumia huo muda kupumzika...ila BAN mi sipati ng'o!
Mh, mods wote wako kiganjani?....(to mods: angalieni wakuu msije kuwa asije kuwa anawamix wote huyu mdada!)
wahahah hahaha haaa!....its a joke Lizzy!