Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Alafu wee mumu embu pita haraka kwa "Waziri mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli mchunguu,.nawaona nawaona baadhi ya watu wanavyojitahidi kujisahaulisha password zao za JF wasione madongo[emoji13] [emoji13] [emoji13] lakini hata kwa jirani zao watachungulia tuu,..sh'kamoo JF
Usipumbazwe na mada za humu. Huko mtaani maisha yanaendelea kama kawaida, harusi ni nyingi mno, aina mbali mbali za wanawake wanaolewa, manung'aembe, single mothers wenye umri mkubwa ndo usiseme, wenye tabia nzuri na wengine wa aina nyingi.
Wooooww sawa basi mwakan tutaanza kua pamoja ...hakika mazoezi niraha !!![emoji125] [emoji8] !Usishangae bana. Ujue nini sikuwahi kuwaza kama nawe unaweza kuwa mdau wa hii kitu.
Usijali mwakani nishtue tuwe tunafuatana basi. [emoji85] [emoji85].
Hahaaa. Usijali mkuu ntakaribia cha muhimu tuombe uzima.Wooooww sawa basi mwakan tutaanza kua pamoja ...hakika mazoezi niraha !!![emoji125] [emoji8] !
Ila namm napenda sana kusoma vitabu mbalimbali ,,, ila nahisi siku nikisoma naww ukiwa pemben nitaelewa sana ,,namm nichukue fursa ya kukukaribisha kusoma vitabu mbalimbali pamoja !!kuanzia mwakan
Ohooooo on ma way faaaaasta[emoji125] [emoji125] [emoji125]Alafu wee mumu embu pita haraka kwa "Waziri mkuuMtumwa amekuletea ujumbe ,kakutafuta Kule unakopumzikaga lkn hajakupata ,,sasa amesema umfuate chumban kwake bila kujali wewe ni malikia au vipeeeee....
Ama hakika mnastahili kilicho kizuri msimu huu Wa sikuu ....daaaahhh my biggest fear nikwamba mtajikuta mnavimbewa kwa vyakula na vinywaji na kucheza na kucheka ,,sasa mtihani utakua hapa ,,,,, ninani atakua wamwisho Mimi kumsimsikiza ???[emoji23] [emoji8] ...Emmyta ni Malaika ila Mumu wee ni Angel ..sasa mtapasua kichwa?? Mimi sina gari ,,Nina kapikipiki tuAkuu shostiii unanthingizia tuu,..mwambie Putin atafute kijiwe ameizing krismas hii tukajipongeze sisi tusiokuwa na makandokando na JF teh teh[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Umenena vyema, Ila ni lazima tufahamu kuwa maisha no yale yale whether ni jf life au street life, tofauti zotakuwepo ila ni ndogo ndogo sana Kwa sababu zifiatazo;JF itakuja kuwa ni mtandao utakao ongoza kuwa na member wengi wenye.
1; HIV
2; Ndoa zisizodumu.
3; walio telekeza familia.
4; wakaidi na wasio shaurika.
Hapa kuna wasomi wengi ambao elimu waliyo nayo haojawasaidia chochote kwajinsi ya kutambua namna ya kuishi.
Licha ya usomi lakini tukiwa hapa wengi wanajiona kanakwamba wapo dunia tofauti na binadamu tofauti, wanasahau kwamba dunia ni ile ile binadamu ni wale wale kilichobadilika hapa ni ID tu.
Hayo yatatupata kwasababu wengi tukiwa hapa tunajisahau na kujiona tuko salama sana, kitu ambacho si kweli.
Na ninyi wadada mnao jiita wasomi, ambao elimu yenu inawapa kiburi na kujiona mnajua kila kitu, basi mtaishia kuliwa hapa, ndoa mtazisikia tu wenzenu wakisimulia,
Nyie kazi yenu itakuwa kugawa burudani tu.
Na zawadi yenu kubwa itakuwa ukimwi, kutoa mimba mwisho mharibu vizazi mkawe wagumba mbele ya safari huko.
Tunajiita wasomi na maGT wakati hatuwezi hata kuvaa nguo, tupo uchi sana hapa JF.
Kama unaakili timamu basi badilika kwa faida ya maisha yako.
Ahsanteni.
Sawa namm natanguliza jina lako ktk maombi yangu ili uwe mwwnye afya nakale kastor ka mabata madogo madogo yanaogelea ikapate kua kweli uHahaaa. Usijali mkuu ntakaribia cha muhimu tuombe uzima.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ha haaa, kila aina ya mwanamke anaolewa, maana wanaume nao wana taste mbali mbali. So tafiti yake hii haina mashiko.kesho nina harusi ya' kicheche' mmoja hapa nashera !namshangaa mtoa mada
Hao wanawake wa jf wanaishi sayari ipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kasoro wanawake wa JF hahaha...
nimesema tuu according to wababa wa JF,
haha
tutoke shoga tutaharibu uzi wa watuHa haaa, kila aina ya mwanamke anaolewa, maana wanaume nao wana taste mbali mbali. So tafiti yake hii haina mashiko.
Hapo ndomaana nakupenda ,,mbali yakua malikia ,, unawajali watu sawa sawa Nautu waooo...hii inaonyesha u malikia km alivyokua Malikia Esther...unamjua Esther aloimbwa na Bahat Bukuku????? Basi mnafananaOhooooo on ma way faaaaasta[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Teh...na ulivyomuharibifu sasa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♀️[emoji125]♀️[emoji125]♀️[emoji125]♀️tutoke shoga tutaharibu uzi wa watu
Teh...na ulivyomuharibifu sasa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♀️[emoji125]♀️[emoji125]♀️[emoji125]♀️
Jaamaniiii najiskia maraha tuu,..unajua Easter aliambiwa nn na mfalme..!??aombe chochoote naye atampatia hata nusu ya ufalme wake akitaka atampa,...oh hallelujah[emoji7] [emoji7] [emoji253] [emoji253]Hapo ndomaana nakupenda ,,mbali yakua malikia ,, unawajali watu sawa sawa Nautu waooo...hii inaonyesha u malikia km alivyokua Malikia Esther...unamjua Esther aloimbwa na Bahat Bukuku????? Basi mnafanana
Umefanywaje wewe naye, wenge tuuh!Tumewakosea nini enyi wanaume wa Jamii Forum?
Ewaaaaaa there you are .....Jaamaniiii najiskia maraha tuu,..unajua Easter aliambiwa nn na mfalme..!??aombe chochoote naye atampatia hata nusu ya ufalme wake akitaka atampa,...oh hallelujah[emoji7] [emoji7] [emoji253] [emoji253]
Unapenda kunichokoza[emoji57] [emoji57]Umefanywaje wewe naye, wenge tuuh!
Hahaahhahaha mm sina shida kwakuwa ni an Angel nitatumia tuu mabawa nitaruka nione uzuri wa mji was sayuni,..na kwakuwa emmitya ni malkia lazima umbebe uhakikishe ulinzi wake asijikwae hata kidole chake,..[emoji125] [emoji125] [emoji7] [emoji7]Ama hakika mnastahili kilicho kizuri msimu huu Wa sikuu ....daaaahhh my biggest fear nikwamba mtajikuta mnavimbewa kwa vyakula na vinywaji na kucheza na kucheka ,,sasa mtihani utakua hapa ,,,,, ninani atakua wamwisho Mimi kumsimsikiza ???[emoji23] [emoji8] ...Emmyta ni Malaika ila Mumu wee ni Angel ..sasa mtapasua kichwa?? Mimi sina gari ,,Nina kapikipiki tu.....namwisho [emoji23] [emoji23] [emoji379] ????.