Kwa Wana JF wote; Nimewaza tu.

Kwa Wana JF wote; Nimewaza tu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli mchunguu,.nawaona nawaona baadhi ya watu wanavyojitahidi kujisahaulisha password zao za JF wasione madongo[emoji13] [emoji13] [emoji13] lakini hata kwa jirani zao watachungulia tuu,..sh'kamoo JF
Alafu wee mumu embu pita haraka kwa "Waziri mkuu
4ea53ae8af2458dd54953af9b8052e84.jpg
Mtumwa amekuletea ujumbe ,kakutafuta Kule unakopumzikaga lkn hajakupata ,,sasa amesema umfuate chumban kwake bila kujali wewe ni malikia au vipeeeee....
3c4b4267de3814ded1feeb313ced061b.jpg
 
Usipumbazwe na mada za humu. Huko mtaani maisha yanaendelea kama kawaida, harusi ni nyingi mno, aina mbali mbali za wanawake wanaolewa, manung'aembe, single mothers wenye umri mkubwa ndo usiseme, wenye tabia nzuri na wengine wa aina nyingi.


kesho nina harusi ya' kicheche' mmoja hapa nashera !namshangaa mtoa mada
 
Usishangae bana. Ujue nini sikuwahi kuwaza kama nawe unaweza kuwa mdau wa hii kitu.

Usijali mwakani nishtue tuwe tunafuatana basi. [emoji85] [emoji85].
Wooooww sawa basi mwakan tutaanza kua pamoja ...hakika mazoezi niraha !!![emoji125] [emoji8] !

Ila namm napenda sana kusoma vitabu mbalimbali ,,, ila nahisi siku nikisoma naww ukiwa pemben nitaelewa sana ,,namm nichukue fursa ya kukukaribisha kusoma vitabu mbalimbali pamoja !!kuanzia mwakan
8a0e1f14f626d2a42ef763cd8259fdb8.jpg
 
Wooooww sawa basi mwakan tutaanza kua pamoja ...hakika mazoezi niraha !!![emoji125] [emoji8] !

Ila namm napenda sana kusoma vitabu mbalimbali ,,, ila nahisi siku nikisoma naww ukiwa pemben nitaelewa sana ,,namm nichukue fursa ya kukukaribisha kusoma vitabu mbalimbali pamoja !!kuanzia mwakan
8a0e1f14f626d2a42ef763cd8259fdb8.jpg
Hahaaa. Usijali mkuu ntakaribia cha muhimu tuombe uzima.

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Akuu shostiii unanthingizia tuu,..mwambie Putin atafute kijiwe ameizing krismas hii tukajipongeze sisi tusiokuwa na makandokando na JF teh teh[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ama hakika mnastahili kilicho kizuri msimu huu Wa sikuu ....daaaahhh my biggest fear nikwamba mtajikuta mnavimbewa kwa vyakula na vinywaji na kucheza na kucheka ,,sasa mtihani utakua hapa ,,,,, ninani atakua wamwisho Mimi kumsimsikiza ???[emoji23] [emoji8] ...Emmyta ni Malaika ila Mumu wee ni Angel ..sasa mtapasua kichwa?? Mimi sina gari ,,Nina kapikipiki tu
8500415c9c745ec95fe9a621324339cf.jpg
.....namwisho [emoji23] [emoji23] [emoji379] ????.
 
JF itakuja kuwa ni mtandao utakao ongoza kuwa na member wengi wenye.

1; HIV

2; Ndoa zisizodumu.

3; walio telekeza familia.

4; wakaidi na wasio shaurika.

Hapa kuna wasomi wengi ambao elimu waliyo nayo haojawasaidia chochote kwajinsi ya kutambua namna ya kuishi.

Licha ya usomi lakini tukiwa hapa wengi wanajiona kanakwamba wapo dunia tofauti na binadamu tofauti, wanasahau kwamba dunia ni ile ile binadamu ni wale wale kilichobadilika hapa ni ID tu.

Hayo yatatupata kwasababu wengi tukiwa hapa tunajisahau na kujiona tuko salama sana, kitu ambacho si kweli.

Na ninyi wadada mnao jiita wasomi, ambao elimu yenu inawapa kiburi na kujiona mnajua kila kitu, basi mtaishia kuliwa hapa, ndoa mtazisikia tu wenzenu wakisimulia,
Nyie kazi yenu itakuwa kugawa burudani tu.
Na zawadi yenu kubwa itakuwa ukimwi, kutoa mimba mwisho mharibu vizazi mkawe wagumba mbele ya safari huko.

Tunajiita wasomi na maGT wakati hatuwezi hata kuvaa nguo, tupo uchi sana hapa JF.

Kama unaakili timamu basi badilika kwa faida ya maisha yako.
Ahsanteni.
Umenena vyema, Ila ni lazima tufahamu kuwa maisha no yale yale whether ni jf life au street life, tofauti zotakuwepo ila ni ndogo ndogo sana Kwa sababu zifiatazo;

1.Kuna watu wamo jf just for funny

2. Kuna watu wamo jf for learning

3. Kuna watu wamo jf ili waonekane kuwa wamo ktk jamii

4. Kuna watu wamo jf for both, funny and learning.

Hizo ni baadhi ya sababu zinazowafanya watu wawemo humu, ni kweli kila mmoja anaishi katika mazingira yake, kuna wengine hawana mahali per Ku interact na watu kulingana na lifestyle yake au majukumu yake nk.
Kwa hiyo akiingia jf ndio anaondoa stress zake zote na kuwa mpya.

Ntaendelea baadae kidogo, ngoja niitendee haki hii glasi hapa pembeni
 
Hapo ndomaana nakupenda ,,mbali yakua malikia ,, unawajali watu sawa sawa Nautu waooo...hii inaonyesha u malikia km alivyokua Malikia Esther...unamjua Esther aloimbwa na Bahat Bukuku????? Basi mnafanana
64bba20897155497b4f3c30fbf065dc6.jpg
Jaamaniiii najiskia maraha tuu,..unajua Easter aliambiwa nn na mfalme..!??aombe chochoote naye atampatia hata nusu ya ufalme wake akitaka atampa,...oh hallelujah[emoji7] [emoji7] [emoji253] [emoji253]
 
Ama hakika mnastahili kilicho kizuri msimu huu Wa sikuu ....daaaahhh my biggest fear nikwamba mtajikuta mnavimbewa kwa vyakula na vinywaji na kucheza na kucheka ,,sasa mtihani utakua hapa ,,,,, ninani atakua wamwisho Mimi kumsimsikiza ???[emoji23] [emoji8] ...Emmyta ni Malaika ila Mumu wee ni Angel ..sasa mtapasua kichwa?? Mimi sina gari ,,Nina kapikipiki tu
8500415c9c745ec95fe9a621324339cf.jpg
.....namwisho [emoji23] [emoji23] [emoji379] ????.
Hahaahhahaha mm sina shida kwakuwa ni an Angel nitatumia tuu mabawa nitaruka nione uzuri wa mji was sayuni,..na kwakuwa emmitya ni malkia lazima umbebe uhakikishe ulinzi wake asijikwae hata kidole chake,..[emoji125] [emoji125] [emoji7] [emoji7]
 
Back
Top Bottom