JIMMY JORAM
Member
- May 1, 2013
- 38
- 20
Nini ufanano kati ya fonetiki na fonolojia
Kwa uelewa wangu wa harakaNini ufanano kati ya fonetiki na fonolojia
ambapo fonetiki inahusu uchunguzi wa sauti za lugha 'zote' wakati fonolojia ni kwa lugha mahsusi ( kama sijachanganya madesa)Kwa uelewa wangu wa haraka
1.zote ni matawi ya isimu yanayojihusisha na uchunguzi wa sauti za lugha ya binadamu.
ambapo fonetiki inahusu uchunguzi wa sauti za lugha 'zote' wakati fonolojia ni kwa lugha mahsusi ( kama sijachanganya madesa)
upo sahihi mkuu, ukipitia kitabu cha Mgullu (1999) kiitwacho Mtalaa wa Isimu anakwambia hivyo!
Aksante sana wakuu kwa mawazo yenye muwala na utondoti wa hali ya juu!
Aksante sana wakuu kwa mawazo yenye muwala na utondoti wa hali ya juu!