Kwa wana kiswahili

Kwa wana kiswahili

Nini ufanano kati ya fonetiki na fonolojia

PHONETICS is the general study of the characteristics of speech sound.It includes studies the way humans make,transmit and receive sound........................

PHONOLOGY is a branch of linguistics that deals with the study of sound systems of natural languages.(Massamba D,PHONOLOGICAL THEORY history and development)
 
Fonetiki ni tawi la isimu ambalo huchunguza sauti ktk lugha zote. fonolojia huchunguza sauti ktk lugha maalum au lugha lengwa.
 
Kwa uelewa wangu wa haraka
1.zote ni matawi ya isimu yanayojihusisha na uchunguzi wa sauti za lugha ya binadamu.
ambapo fonetiki inahusu uchunguzi wa sauti za lugha 'zote' wakati fonolojia ni kwa lugha mahsusi ( kama sijachanganya madesa)
 
ambapo fonetiki inahusu uchunguzi wa sauti za lugha 'zote' wakati fonolojia ni kwa lugha mahsusi ( kama sijachanganya madesa)

upo sahihi mkuu, ukipitia kitabu cha Mgullu (1999) kiitwacho Mtalaa wa Isimu anakwambia hivyo!
 
upo sahihi mkuu, ukipitia kitabu cha Mgullu (1999) kiitwacho Mtalaa wa Isimu anakwambia hivyo!

Asante mkuu. bado nazikumbuka dhana hizo maana prof Rubanza alinisaidia sana. Kitabu hicho tulitukimia sana wakati tunasoma foneti, fonolojia na mofolojia. Prof akatuunganiishia na mofofonolojia, weeeeeee palikuwa hapatoshi. halafu kwenye mihadhara yake ukikosea alikuwa anafurahi sana. Siku moja nkiwa mwaka wa pili nilikosea nikamwita "Dr.Rubanza" akanijibu "unasemaje profesa!" hahahahaaaa! nilikuwa mdogo nukta kubwa
 
Aksante sana wakuu kwa mawazo yenye muwala na utondoti wa hali ya juu!
 
Aksante sana wakuu kwa mawazo yenye muwala na utondoti wa hali ya juu!

Asante mkuu kwa kushukuru ingawa naamini huu ni usuli tu. tunakutakia udadafuzi muruwa katika kushadidia mawazo yako
 
Back
Top Bottom