kwa wana LLB SAUT.

kwa wana LLB SAUT.

Cartoons

Senior Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
122
Reaction score
39
Wanajamvi,especially wale wanaosoma sheria chuo cha SAUT,kuna tetesi kuwa lecturer ndg. raphael kamuli kuwa ametimuliwa au amehamishiwa tawi jingne la saut. hizi tetesi zinatokana na kuhairishwa kwa mitihani ya supplementary ,ambayo huyu jamaa alikuwa kakamata watu wengi,kwa kigezo kuwa mitihan inasahishwa upya. haijaelezwa ni kwa nini mitihani imerudiwa kusahishwa na lini hizo supplementary exams zitafanywa. km kuna mwanajamvi mwenye data kamili naomba atujuze.
 
Si mngepigiana simu than kuja kujaza server humu jf!
 
Back
Top Bottom