Kwa wana mahesabu

11 x 11=121 ->1+2+1=4
22 x 22=484 ->4+8+4=16
33 x 33=1089 ->1+0+8+9=18
44 x 44=1936 ->1+9+3+6=19 etc
 
Nilidhani swali la ukweli kumbe utoto utoto tu! Alaah! Tupia ngoma za kiutu uzima bana ! Alaaaah!
 
Mkiwa na shida yoyote ya hesabu nyie semeni msihofu maana kuna watu huku tumebobea kwa hesabu. Kwa pamoja hesabu inawezekana na ni rahisi mno. Nasema hvyo kwa vile kwenye hesabu kama unajua itakuwa hvyohvyo tuu na si vinginevyoa
 
(3+3)(3+3)=36 ila kwa nn ubuni hesabu wakati inahitaji formula!
 
(3+3)(3+3)=36 ila kwa nn ubuni hesabu wakati inahitaji formula!

Mkuu inaonekana hukusoma zile enzi za andika namba inayofuata katika mfulululizo huu....mfano 2, 4,8.....Hesabu kama hizi huwa hazina kanuni wakati mwingine haihitaji kuumiza akili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…