kwa wana SUA

kwa wana SUA

Afu mi natoa twisheni ya pre.first year. Mnione niwape bei
 
wanaoenda bash 2kutane hapa

Jinsi ulivyoanzisha uzi nilidhani una issue ya maana wadau tujuzane kumbe unaleta sifa za ki 1st na 2nd yr hapa? Kuweni makini shule ya SUA haiitaji mbwembwe hizo sifa za kutaka umaarufu wa kupata mademu zitawaghalimu, mtaliwa vichwa muondoke wapoleeeee.chezea SUA wewe?
 
wee Obwato nawee sepa huna jipya!!!nani kakwambia anatafuta mademu apa SUA!!!!madem wenyewe apa sua wamechukua sura za baba zao!!!kwa mademu wapi hasa SEPA ZAKO UKO HATISHWI M2 APA!!!
 
wee Obwato nawee sepa huna jipya!!!nani kakwambia anatafuta mademu apa SUA!!!!madem wenyewe apa sua wamechukua sura za baba zao!!!kwa mademu wapi hasa SEPA ZAKO UKO HATISHWI M2 APA!!!

Tatizo la wanafunzi wa SUA karibu 60% mnatoka vijijini uko Msunjilile, Kanyigo, Nakapanya, Kasangezi, Chamakweza, Kipumbwi etc mkifika new hostel kuona magorofa mnachanganyikiwa na kuanza ubrother man wa kishamba. Wasomi wanajadili mambo ya maana sio sifa za kijinga.
 
Back
Top Bottom