lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,384
Haha,aisee hii mambo nimeifanya sana kipindi cha nyuma.
Pindi pale mmetoka viwanja,then mnahangaikia pa kulala, mwendo unakua ni VYUMBA VIMEJAA, dah kitu SAA Tisa hiyo...
BT sikuzote bahati huwa inatokea mwishoni kabisa mnaotea Room moja BT inavitanda viwili.basi mnagombania ili kila MTU awashe aliemuegamia Begani,haha
Anway hivi ulijisikiaje pale Mwana anawasha Manzi inapiga shangwe za mahaba halafu wewe yako imeduwaa kama bubu,hapo unabaki na maswali mengi je siishughulikii ipasavyo au ni Kiburi!
Halafu mwenzio kapiga shoo SAA zima,ila yako umeiwasha 10min.[emoji16][emoji16][emoji16]
Niambie ilikuaje that day mmeshare room na mwana then amekamia lakini wewe mtalimbo Doro[emoji23]