Kwa wana Yanga tu

Kwa wana Yanga tu

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
1086910

Mfahamu anayegombea nafasi ya uenyekiti Yanga SC.

- Anaitwa Dr. Mbette Mshindo Msolla.
- Mtaalamu Mbobezi wa kilimo.
-Hajawahi kuwa kocha wala hana taaluma ya ukocha.
- Aliyekuwa kocha wa Taifa Stars ni kaka yake.
-Ni mwanachama wa Yanga SC lakini ni muajiriwa katika kampuni moja wapo la MO-Dewji.

Wanachama wa Yanga SC, Naomba tuwe makini hapa! Huyu anayegombea sio yule kocha na analitumia jina la kaka yake vema ili kutuchanganya.

HAWA WAGENI WANAOIBUKA IBUKA KIPINDI NYETI ,TUWE NAO MAKINI.
 
Huyo ndio mwenyekiti wako ajaye umeshindwa hoja mezani unakimbilia kwenye keyboard
 
Acha fitina ndugu. Roho mbaya tu inakusumbua.
 
Kinachonisikitisha, hakuna hata mgombea mmoja mwenye sera ama maono ya kujenga uwanja. Hivi hizi klabu kongwe za hapa nyumbani zinaona raha gani kutokua na viwanja vyao wenyewe?? Havioni aibu
 
View attachment 1086910
Mfahamu anayegombea nafasi ya uenyekiti Yanga SC.

- Anaitwa Dr. Mbette Mshindo Msolla.
- Mtaalamu Mbobezi wa kilimo.
-Hajawahi kuwa kocha wala hana taaluma ya ukocha.
- Aliyekuwa kocha wa Taifa Stars ni kaka yake.
-Ni mwanachama wa Yanga SC lakini ni muajiriwa katika kampuni moja wapo la MO-Dewji.

Wanachama wa Yanga SC, Naomba tuwe makini hapa! Huyu anayegombea sio yule kocha na analitumia jina la kaka yake vema ili kutuchanganya.

HAWA WAGENI WANAOIBUKA IBUKA KIPINDI NYETI ,TUWE NAO MAKINI.
Hahahaha hahahaha ukimchunguza Sana kuku/bata hutamla! Unataka akaajiriwee na akilimali company ltd??
 
View attachment 1086910
Mfahamu anayegombea nafasi ya uenyekiti Yanga SC.

- Anaitwa Dr. Mbette Mshindo Msolla.
- Mtaalamu Mbobezi wa kilimo.
-Hajawahi kuwa kocha wala hana taaluma ya ukocha.
- Aliyekuwa kocha wa Taifa Stars ni kaka yake.
-Ni mwanachama wa Yanga SC lakini ni muajiriwa katika kampuni moja wapo la MO-Dewji.

Wanachama wa Yanga SC, Naomba tuwe makini hapa! Huyu anayegombea sio yule kocha na analitumia jina la kaka yake vema ili kutuchanganya.

HAWA WAGENI WANAOIBUKA IBUKA KIPINDI NYETI ,TUWE NAO MAKINI.
UnajisikiaJe huko uliko??

Simba hoyeeee
 
UnajisikiaJe huko uliko??

Simba hoyeeee
Niko poa kabisa, ni mjumbe wa Yanga mchaguliwa tunaanza kuijenga Yanga yetu mpya baada ya uchaguzi,mengine yameshapita
 
Back
Top Bottom