Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mfahamu anayegombea nafasi ya uenyekiti Yanga SC.
- Anaitwa Dr. Mbette Mshindo Msolla.
- Mtaalamu Mbobezi wa kilimo.
-Hajawahi kuwa kocha wala hana taaluma ya ukocha.
- Aliyekuwa kocha wa Taifa Stars ni kaka yake.
-Ni mwanachama wa Yanga SC lakini ni muajiriwa katika kampuni moja wapo la MO-Dewji.
Wanachama wa Yanga SC, Naomba tuwe makini hapa! Huyu anayegombea sio yule kocha na analitumia jina la kaka yake vema ili kutuchanganya.
HAWA WAGENI WANAOIBUKA IBUKA KIPINDI NYETI ,TUWE NAO MAKINI.