Kwa Wanachama wa TAHA, nataka kujiunga

Bora wewe rafiki yangu aliuziwa mbegu mbovu, yaani yule msimamizi wa TAHA akamuelekeza mbegu na kumsimamia tena hiyo mbegu akauziwa bei juu mno ni ilr tikiti isiyo na soko sababu inaoza haraka yaani ikilala kesho yake yanatoa maji.

50000!!! Mie sikuona msaada wao niwe mkweli...nilikua najishughulisha na kilimo cha strawberry ..sana sana unaenda tu kusogoa! Nimeachana na kitu kinachoitwa kilimo! .
Kila la heri
 
Huduma yao inaishia mikoa gani? Mimi nina shamba Kakonko mkoani Kigoma, wanaweza kufika huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…