Kwa wanachopitia CHADEMA vipi kama Mbowe angekuwa Mwenyekiti?

johnmashilatu

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
1,263
Reaction score
1,753
Matukio yanayoendelea tangu uchaguzi wa ndani wa CHADEMA, Januari mwaka jana,unanipelekea kufanya tafakuri na kuhutimisha kuwa ushindi wa Lissu na Heche, umekuea " game changer" kwa siasa za Tanzania.

Jaribu kufikiri misukosuko ambayo CDM imepitia, kisha Mbowe na wafuasi wake wangekuwa madarakani.

Naheshimu mchango wa FAM kwa siasa za nchi hii na hasa CDM, lakini niwahi kuhitimisha kuwa, amechelewesha mabadiluko yaliyokuwa yakitarajiwa na wananchi.

Fikiria kama angekuwepo na wafuasi wake wa G55,kisha akapewa kesi kama Lissu nabaadaye kupewa ahadi mbalimbali ili aachiwe, nini kingetokea?

Fikiria kama yeye na akina nyeriko, chama kinafungiwa huku kikiwa na kesi kibao, hawa watu wangefanya nini?

Mfikirie Wenje ndiye makamu, huku mwenyekiti akiwa mahabusu na kesi ya uhaini, halafu anaitwa kwenye maridhiano.

Lissu na Mwalimu mkuu wa taifa( kulingana na Jenerali Uliwengu) Heche, wamefanya na watafanya mabadiliko mengi, moja kubwa ninaloona ni kujenga wanachama na watanzania ambao watakuwa tayari kusema hapana katika BIASHARA ya kununua wanasiasa.

Kwamba, tutarejesha nidhamu ya watu kuwa na misimamo na kuisimamia na kwamba fedha haiwezi kuwa mbadala wa ukweli, haki na ubinadamu.

Sijui, itakuwaje kwa lile kundi la mafisadi waliohodhi taifa kwa kuchukua kila kitu, kwani huu ndio mzizi.
 
Angekuwa mwenyekiti mbowe hata Yale mauaji ya mo29 yasingetokea. Jaribu kuwaza kwa akili
 
Zaidi ya Kuwa mahabusu kwa kipindi cha mwaka na chama kuishi kwa kutegemea bakuli Lisu kafanya nini?

Hayo ndio mabadiliko?

Kukipa chama chenu kesi za ugaidi??
 
Ingesha zikwa futi 100,000 chini ya uso wadunia!
 
Angekuwa mwenyekiti mbowe hata Yale mauaji ya mo29 yasingetokea. Jaribu kuwaza kwa akili
Yangekuwa yamehairishwa. Hakuna mwenye ubavu wa kuzuia mabadiliko wakati ukifika.

Kupitia damu ya Watanganyika wenzetu iliyomwagika October 29 CCM imekutana na mbinyo ambao hawakuwahi kuwaza ungewapitia.

Jumuiya ya Kimataifa inalazimisha maridhiano yafanyike, katiba ipatikane

Hata mtoto mdogo anafahamu KATIBA MPYA ndio kifo cha CCM.

Idadi ya watu watakaojitokeza kupiga kura baada ya mageuzi kufanyika itakuwa ni rekodi kubwa sana.

Mbowe asingetufikisha huku.
 
Ccm na serikali walitumia nguvu na ushawishi mwingi sana kuhakikisha Lissu na Heche hawashindi.
Lakini wakati ukuta, huwezi kuzuia mabadiliko kwa namna yoyote ile labda utayachelewesha tu.
Hakika ule uchaguzi ulikuwa game changer.
Mbowe kapoa!
 
Yangekuwa yamehairishwa. Hakuna mwenye ubavu wa kuzuia mabadiliko wakati ukifika.

Kupitia damu ya Watanganyika wenzetu iliyomwagika October 29 CCM imekutana na mbinyo ambao hawakuwahi kuwaza ungewapitia.

Jumuiya ya Kimataifa inalazimisha maridhiano yafanyike, katiba ipatikane

Hata mtoto mdogo anafahamu KATIBA MPYA ndio kifo cha CCM.

Idadi ya watu watakaojitokeza kupiga kura baada ya mageuzi kufanyika itakuwa ni rekodi kubwa sana.

Mbowe asingetufikisha huku.
Nami nafikiri hivyo, kwamba uchaguzi ujao kama chadema watashiriki, idadi ya wapiga kura itakuwa kubwa, sambamba na kuanza kuona kuanzia sasa kuna wanasiasa wataanza kukizengea.
 
Zaidi ya Kuwa mahabusu kwa kipindi cha mwaka na chama kuishi kwa kutegemea bakuli Lisu kafanya nini?

Hayo ndio mabadiliko?

Kukipa chama chenu kesi za ugaidi??
Jizi na lipenda rushwa limepost
 
Back
Top Bottom