Vigezo:
1. Muislam
2. Elimu ya juu
3. Anajua dini
4. Muonekano mzuri na kuvutia
5. Mweupe au maji ya kunde
6. Umri 24-29
7. Mwenye Tabia Nzuri
8. Kama bado anasoma, awe mwaka wa mwisho.
Kama unaendana na vigezo hivyo tafadhali ni PM ndipo utakapojua sifa zangu.
NB: Naomba kwa wenye vigezo tu ndio watume PM.