Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We uko mwaka wa ngapi kwan?
mi sisomi ardhi university ila kuna mdogo wangu yuko pale 1st year kuna vitu alikuwa anahitaji kutoka kwa waliopo au waliopita kwenye hiyo school ya real estate.
Kwani hawezi kuwapata palepale chuoni hadi uje jf..
we unasoma wapi?