Kwa wanafunzi wa St. Joseph (T) Arusha

Kwa wanafunzi wa St. Joseph (T) Arusha

Ighombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
1,181
Reaction score
675
Wadau naomba msaada,Nina mwanafunzi wa first year hana chumba na anahitaji kuchangia chumba na mwanafunzi yeyote atakayejitojeza.Kama yupo aweke mambo hadharani kwenye jukwaa letu hili.
Kila la kheri.
 
NYONGEZA: Samahani nwanafunzi ni mvulana
 
kama n mvulana poa hostel imebaki nafac ya kitanda kimoja ila chumba wanakaa w2 4 no. 0684587770
 
Back
Top Bottom