Kwa wanafunzi waliokua wanufaika wa mkopo kutoka HESLB

Kwa wanafunzi waliokua wanufaika wa mkopo kutoka HESLB

we ulisikia wapi?

kwani mkuu wakati unasaini fomu za loan board Ile mwaka wa Kwanza haukusaini field work ?
maana pale huwa kuna kila kitu ambacho mwaka husika mtafanya na pesa yake na mnasaini labda kama nowdays utaratibu upo tofauti...

Kama mlisaini hiyo hela na haikuingia na kwenye mtaala wenu ulowekwa na chuo inaonesha mna field mwaka wa Kwanza .....mkuu fatilieni vizur kuna mnuso wa kupigwa hela hapo.

Kikubwa fuatilieni mjue kama pesa mlisaini kwanini haikuingia? kama hamkusaini ila imeandikwa kama mtafanya field nafikir ndo basi ...mtaipata mtayosain mwaka wa pili Kwa ajili ya field.

wajuzi wanakuja lakini kukujuza uzuri.
 
Back
Top Bottom