Kwa wanafunzi wanaosoma njombe sec school(njoss)

Kwa wanafunzi wanaosoma njombe sec school(njoss)

Mwanyonga

Senior Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
141
Reaction score
20
Kuna maagizo kuwa kila mwanafunzi lazma awe na barua iliyopitishwa kwa m/kiti wa kijj,mtendaji wa kata na mkuu wa wilaya,nakala za muundo wa barua hizo zimetumwa jana kupitia anuan zenu hivyo basi ni vema kuangalia mara kwa mara kwenye posta zenu
 
Back
Top Bottom