Mwanyonga Senior Member Joined Jun 11, 2012 Posts 141 Reaction score 20 Oct 17, 2014 #1 Kuna maagizo kuwa kila mwanafunzi lazma awe na barua iliyopitishwa kwa m/kiti wa kijj,mtendaji wa kata na mkuu wa wilaya,nakala za muundo wa barua hizo zimetumwa jana kupitia anuan zenu hivyo basi ni vema kuangalia mara kwa mara kwenye posta zenu
Kuna maagizo kuwa kila mwanafunzi lazma awe na barua iliyopitishwa kwa m/kiti wa kijj,mtendaji wa kata na mkuu wa wilaya,nakala za muundo wa barua hizo zimetumwa jana kupitia anuan zenu hivyo basi ni vema kuangalia mara kwa mara kwenye posta zenu