Kwa wanaisimu!

Kwa wanaisimu!

Joined
Jan 1, 2014
Posts
74
Reaction score
11
Samahani wakuu naomba mnisaidie swali hili kwa anaejua! ""Hali ya kitenzi kuhitaji au kutokubitaji yambwa inaitwaje?""! Nawasilisha!
 
Kitenzi kinachohitaji yambwa huitwa Kitenzi shamiri. Kitenzi kisichohitaji yambwa huitwa si shamiri.
 
Back
Top Bottom