Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,514
- 4,998
Nawakaribisha wanajamii forum wanaokaa Nairobi ili tuweze kukutana na kupeana mawaidha live. Nimekaa hapa Nairobi kwa muda sasa lakini sijawahi kukutana na mtz aliyeko kwenye jamii, kila ninayekutana naye nauuliza kama yuko hapa ananambia hapana. Hata watz wanajamii watakaokuja Nairobi tutafutane jamani tuweze kuonana na kupeana mawili matatu bila kjali hitikadi na mitazamo yetu, hata kaka MS namkaribisha kwa moyo mweupe. Nawasikisha!