Najua wanakwaya mtakuwa mmesharudi nyumbani baada ya ibada makanisani!hii pia unawahusu wale wote tulio wahi kuwa wanakwaya makanisani,tuka -staafu,staafishwa,fukuzwa nk ! Nahata washabiki na wapenzi wakwaya na walio karibu na wanakwaya!!!!!
Hebu fikiria jinsi kwaya ilivyokusaidia au inavyokusaidia katika maisha yako ya mapenzi!
Tuongee ukweli !bila kujali sana imani zetu,
naanza mimi kwaya ilinifanya niingie kwenye mahusiano ambayo sikuyategemea!sijuti sana !ila nasikitika
Mahusiano ya kingono nna mapenzi siyo mageni sana katika vikundi vya kwayauanendelea. Mahusiano haya yanapendeza ikiwa tu yanalengo jema la ndoa lakini kama ni kwa uzinzi ni tatizo kubwa sana na ndilo tunaloliona kwenye kwaya nyingi zinazotuimbia na kutuzunguka.
Inapotokea kwaya inasafiri kwenda nje ya eneo lao hali huwa ni balaa kwani ni kama uzinzi na ulevi umepewa kibali. "Mungu na atusaidia, hatukufika bali tunaendelea"Mch Abiud Misholi(Tenda Miujiza2010):amen:
dah kwaya mh acha tu wengine tulizianzia sekondari ktk joint masses afu ukishazoea mambo yetu yale kwa mgongo wa kwaya ni ka ulemavu huwezi tongoza demu mwingine ambaye si mwanakwaya ndo mana unakuta kila sehemu mtu akienda cha kwanza anajiunga na kwaya hata ka atakaa muda mfupi