Najua wanakwaya mtakuwa mmesharudi nyumbani baada ya ibada makanisani!hii pia unawahusu wale wote tulio wahi kuwa wanakwaya makanisani,tuka -staafu,staafishwa,fukuzwa nk ! Nahata washabiki na wapenzi wakwaya na walio karibu na wanakwaya!!!!!
Hebu fikiria jinsi kwaya ilivyokusaidia au inavyokusaidia katika maisha yako ya mapenzi!
Tuongee ukweli !bila kujali sana imani zetu,
naanza mimi kwaya ilinifanya niingie kwenye mahusiano ambayo sikuyategemea!sijuti sana !ila nasikitika