Kwa wanaMUCC0BS

Kwa wanaMUCC0BS

Vallyvatcher

Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Kwanza nawasalimu wanajamii wote! Naombeni mnifahamishe system ya kupata malazi nje ya chuo ikiwa utakosa h0stel maana mda umekaribia, msaada tafadhali waungwana.
 
Hivi hiki ndicho chuo ambacho hata div 3 anasoma degree, eh?
 
HATA MIMI A.S.P SAMITI NAENDA MUCCoBS NA NASIKIA HOSTEL NI ZA SHIDA SANAA
 
HATA MIMI A.S.P SAMITI NAENDA MUCCoBS NA NASIKIA HOSTEL NI ZA SHIDA SANAA

hostel nimeambiwa zipo za kutosha,lakini kupata hostel ya karibu sana na chuo ndio shida,
 
Hivi hiki ndicho chuo ambacho hata div 3 anasoma degree, eh?

nambie chuo gani tz hakina vijana wenye dv 3? Acha kejeri jaribu kutumia akili yako kama greater thinker,kwani dv 3 haifai? Nani kakwambie dv yako ni implication katika utendaji wako? Dv 3 wangapi wanafanya kazi za kitaifa kwa maadili mema kwa maendeleo ya watz? Dv 1 ngapi tz zimeipoteza na kuibakiza magofu nchi hii? Dv 1 yupi tz amegundua ata theory moja inayotambulika dunia hii? Heshimu watu na utaikosea muccobs inayochukua point 5 huku vyuo vingine vikichukua mpaka point 2,
 
Du poleni mmenikumbusha mbali enzi za 80' hadu 90'Chuo tulikaa wote Chuoni na msosi hapohapo
 
Haka kachuo atleast kako vizuri,nadhani ndio chuo pekee cha maana pale moshi.sema cjajua huwa kinachukua watu wenye ufaulu wa namna gani!
 
Hivi hiki ndicho chuo ambacho hata div 3 anasoma degree, eh?

mkuu kuwa mstaarabu basi, usitumie div yako kuwanyanyasa wengne, na hizo 1 zenu tutakutana tu vyuoni mlituonea advance coz wengne hata pesa za kwenda tuition hatukuwa nazo, u just wait and see hakuna tuition huko tutaona.
 
Du poleni mmenikumbusha mbali enzi za 80' hadu 90'Chuo tulikaa wote Chuoni na msosi hapohapo

Duh mzee Ukwaju ulikuwepo??! Enzi hizo chuo kinazalisha bana siku cku hizi chuo cha biashara ila hakina biashara hata moja..saccos yenyewe inakufa mi sijui elimu ya siku izi inafundisha nn watu.

I remember those days za mayai..kuku...kitimoto..maziwa ndo usiseme...dahhh...dem gud old days.
When MUCCoBS was Chuo cha Ushirika.
 
Last edited by a moderator:
Haka kachuo atleast kako vizuri,nadhani ndio chuo pekee cha maana pale moshi.sema cjajua huwa kinachukua watu wenye ufaulu wa namna gani!

HAKA KACHUO!?! Kwa kweli omba akili ya kupambanua maisha sio kukariri...
 
HAKA KACHUO!?! Kwa kweli omba akili ya kupambanua maisha sio kukariri...

muccobs ni college tu mkuu,na wala sio university ndo maana nimekaita kachuo!btw,wako seriouz na kazi sema wana scandal ya kuzagaa kwa vyeti vyao feki hapo moshi na cjui kama wameisha limaliza hlo tatzo.
 
Back
Top Bottom