Kwa wanandoa tu msaada tafadhali

Kwa wanandoa tu msaada tafadhali

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Habari za asubuhi wakuu
Napenda kuuliza je mwanamke mwenye ujauzito ataacha kushiriki tendo la ndoa baada ya ujauzito kufikisha miezi mingapi na atashiriki baada ya kujifungua ipite miezi mingapi
Asanteni karibuni mchangie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushiriki atashiriki hata ujauzito ukifikisha miezi 8-9 inategemea na afya ya mama na kuhusu kujifungua inategemea amejifungua kwa njia gani, inategemea ntu na ntu....wengine ndani ya miezi mitatu na wengine sita ( kwa kisu) ila m baba kukojolea ndani marufuku
 
Kama hana tatizo lolote kiafya anaweza kushiriki hadi siku ya mwisho. Na akijifungua kwa njia ya kawaida ni baada ya siku 40 mchezo unaanza...
 
Kushiriki atashiriki hata ujauzito ukifikisha miezi 8-9 inategemea na afya ya mama na kuhusu kujifungua inategemea amejifungua kwa njia gani, inategemea ntu na ntu....wengine ndani ya miezi mitatu na wengine sita ( kwa kisu) ila m baba kukojolea ndani marufuku
Thanks mkuu maana nilikuwa na stress kuwa ntakaa mda mrefu bila kuonja papuch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom