Kwa wanandoa,wapenzi sikia hii!

Kwa wanandoa,wapenzi sikia hii!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Maisha ni mazuri lakini sikuzote yana mikiki mingi!Ila kuna hili la simu za mikononi a.k.a Mobile!Ukiwa na mpenzi wako ukaona mmefikia hapa Basi Mmoja wene ajaribu kushuka ili mambo yaweze kwenda sawa!
Nongelea hili swala la simu za mikononi a.k.a Mobile!Ikifika Mahali ukaona mwenzi wako Simu inakaa kiganjani ikitoka kiganjani hipo mfuko wa shati au Suruali naunaona imekuwa ni kila siku na ikiachwa lazima inakuwa imezimwa naukiiwasha ina Viro au Password Tambua kunakitu hakiitaji kugundulika nakitu hicho nimwiba mkali katika mapenzi yenu au katika ndoa yenu!!Vilevile kwa akina Mama,Dada ukiona simu Kiganjani ikitoka kiganjani hipo kwenye pochi naikipigwa mko wawili inapuuziwa!na labda ikipigwa msikilizaji anapiga hatua mbili pembeni kuisikiliza kwakisingizio hamsikilizani Jua kunakitu si cha kawaida na nimwiba mkali kwenye mahusiano yenu!!
Tena ogopa watu unaowapigia simu unajibiwa simu hii imezuiwa kwamda!!Au akaunti yako hainafedha yakutosha kukuunganisha na simu hii!Ukiona hivyo ujue simu itaachwa kila mahali kwakuwa wanauhakika hakuna wakumfikia na sms haziwezi kuja!Nazaidi ukiona uliyenaye ukirudi simu utadhani ajapiga simu au kupigiwa tangu asubuhi jua hapo kunakitu!!Machana mwema!!Wana JF hizo nitipu za Simu nya mkononi!!😛hone:
 
???????????????????????? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Maisha ni mazuri lakini sikuzote yana mikiki mingi!Ila kuna hili pindi uonapo mmefikia hapa Mmojawetu ajaribu kushuka ili mambo yaweze kwenda sawa!
Naongelea hili la simu pindi ukiona mwenzi wako Simu inakaa kiganjani ikitoka kiganjani hipo mfuko wa shati au Suruali na ikawa ni kila siku napale ikiachwa lazima inakuwa imezimwa naukiiwasha ina Viro au Password Tambua kunakitu hakiitaji kugundulika nakitu hicho nimwiba mkali katika mapenzi yenu au katika ndoa yenu!!Vila kwa akina Mama Dada ukiona simu Kiganjani ikitoka kiganjani hipo kwenye pochi naikipigwa mko wawili inapuuziwa!nalabda ikipigwa msikilizaje anapiga hatua mbil pembeni kuisikiliza kwakisingizio hamsikilizani Jua kunakitu sichakawaida na nimwiba mkali kwenye mahusiano yenu!!Naogopa watu unaowapigia lakini unajibiwa simu hii imzuiwa kwamda!!Au akaunti yako hainafedha yakutosha kukuunganisha na simu hii!!Ukiona hivyo ujue simu itaachwa kila mahali kwakuwa wanauhakika hakuna wakumfikia na sms haziwezi kuja!
Nazaidi ukiona uliyenaye ukirudi simu utadhani ajapiga simu au kupigiwa jua hapo kunakitu!!Machana mwema!!Wana JF hizo nitipu za Simu nya mkononi!!😛hone:

dah,
nimetumia nguvu nyingi kweli,
kukuelewa kiongozi!!!!!!!
Asante kwa Angalizo!!!!!
 
Mapenzi yanautesa moyo weeeeeeeee, mapenzi yanaumiza moyoooooo! niko mbali na masongangeeee................................
 
Mapenzi yanautesa moyo weeeeeeeee, mapenzi yanaumiza moyoooooo! niko mbali na masongangeeee................................

njoo utulize mtima wangu...........................
 
Nimetumia guvu sanakusoma thread yako ila nimekusoma ahsante kwa mawazo yako
 
???????????????????????? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

dah,
nimetumia nguvu nyingi kweli,
kukuelewa kiongozi!!!!!!!
Asante kwa Angalizo!!!!!
Nimetumia guvu sanakusoma thread yako ila nimekusoma ahsante kwa mawazo yako
Poleni kwani naona nimvua za asubuhi lakini nimerekebisha kama kuna mahali hamjapaelewa nitawarekebishia kwa ajili ya wasomaji wapya asanteni sana kwakuona upungufu wangu!Tupo pamoja!
 
Ukimchunguza sana bata huwezi kumla kamwe, furahia maisha acha kujitafutia presha za rejereja
 
mmh kaharufu ka freemassons kwenye ndoa zetu tena??
 
Ukitaka kuugua magonjwa sugu na msomgo wa mawazo fuatilia simu ya mwenza wako!
 
Ukimchunguza sana bata huwezi kumla kamwe, furahia maisha acha kujitafutia presha za rejereja

sikubaliani na allegations za mtoa mada. sio kweli kuwa kila aendapo mtu na cm maana yake anaficha kitu. wengine ni mazoea ya kujifunza. cm nikitu unachokutana nacho baadae kwenye maisha. ni rahisi kukisahau. kwa hiyo unaji-train kuikumbuka whenever you go ili usije isahau sehemu nayo ikatoweka. kumbuka kwa wengine wetu cm inakuwa na taarifa nyingi sana ambazo ukizipoteza tu ghafla ghafla unarudi nyuma steps kadhaa kimaisha. so sio kweli kuwa kuna jambo unaficha. na hata hivyo ungependa kuchunguza simu ya mwenza wako ili iweje?
 
Jamni si kila mtu ana simu yake, ya mwenzako ya nini? unataka presha ya bure!
 
Achana na simu ya mwenzako
usijitakie pressure kupanda mara pressure kushuka
 
Teh teh,ama ukiona mwenza wako kila akija home simu iko silent! Ila ww tulia tulii,kuna siku atajikanyaga mwenyeewe.Unajua shetani nae akimchoka mtu,anamvua nguo hadharani!
Maisha ni mazuri lakini sikuzote yana mikiki mingi!Ila kuna hili la simu za mikononi a.k.a Mobile!Ukiwa na mpenzi wako ukaona mmefikia hapa Basi Mmoja wene ajaribu kushuka ili mambo yaweze kwenda sawa!
Nongelea hili swala la simu za mikononi a.k.a Mobile!Ikifika Mahali ukaona mwenzi wako Simu inakaa kiganjani ikitoka kiganjani hipo mfuko wa shati au Suruali naunaona imekuwa ni kila siku na ikiachwa lazima inakuwa imezimwa naukiiwasha ina Viro au Password Tambua kunakitu hakiitaji kugundulika nakitu hicho nimwiba mkali katika mapenzi yenu au katika ndoa yenu!!Vilevile kwa akina Mama,Dada ukiona simu Kiganjani ikitoka kiganjani hipo kwenye pochi naikipigwa mko wawili inapuuziwa!na labda ikipigwa msikilizaji anapiga hatua mbili pembeni kuisikiliza kwakisingizio hamsikilizani Jua kunakitu si cha kawaida na nimwiba mkali kwenye mahusiano yenu!!
Tena ogopa watu unaowapigia simu unajibiwa simu hii imezuiwa kwamda!!Au akaunti yako hainafedha yakutosha kukuunganisha na simu hii!Ukiona hivyo ujue simu itaachwa kila mahali kwakuwa wanauhakika hakuna wakumfikia na sms haziwezi kuja!Nazaidi ukiona uliyenaye ukirudi simu utadhani ajapiga simu au kupigiwa tangu asubuhi jua hapo kunakitu!!Machana mwema!!Wana JF hizo nitipu za Simu nya mkononi!!😛hone:
 
Teh teh,ama ukiona mwenza wako kila akija home simu iko silent! Ila ww tulia tulii,kuna siku atajikanyaga mwenyeewe.Unajua shetani nae akimchoka mtu,anamvua nguo hadharani!

hahaha....mie mambo ya cm ya mtu jamani ctakagi hata kuckia , lakini yeye ana kiherehere na yangu mbaya kabisa....
 
Back
Top Bottom