Kwa wanandoa

29.Keep the in-laws out of your marriage!
Hii mimi ndio imenigusa sana! Ngoja niifanyie kazi now!
 
Hiyo hata mimi siikubali
Labda mtu adadavue hii privacy ni ipi hasa mwanandoa anapaswa kuiheshimu...Lakini binafsi usiri siri kwenye mahusiano naona unazua wasiwasi kwa kweli. (hicho ninacho share naye ndo cha siri hasa (private ) sasa sijui hii ingine inahusisha yapi)
 
@bht and Nyumbakubwa, privacy inayoongelewa hapa sio usiri bali ni kama vile time alone, yaani kuna wakati u just need to be with yourself ...

Kwamfano kuna maamuzi mengine ambayo pamoja na kumshirikisha mwenzako lazima pia na wewe mwenyewe upate muda wa kuyachuja 'alone' hivyo kuna wakati hata kama uko kwenye ndoa ama useja unahitaji some 'me time'

Hii inasaidia kuleta balance ya maisha especially akina mama ambao wako busy kazini,au nyumbani , pia kwa wanaume, kiujumla kwavile tumeumbwa kila mtu kwa mfano wake basi hata traits zetu kidogo zinatofautiana hivyo mwenzio akihitaji some timealone, mpe tu usimwingilie akishatoka humo atakuwa free kukueleza ila hii sawa na kuficha siri
 
ishu ya confidenciality inahusika pia, jaribu kumtunzia siri mwenza wako pia! Usiwe mtu kuropoka ropoka!
 
Nsiande, nimekuelewa. I have no problem 'letting' my man have some times with his friends (guys time).

sasa kama hilo ndo privacy inayoongelewa hapa...hewala! Lakini kama ni mambo ya kifichana fichana...aah!
 
Mimi nikikasirika huwa sina altenative, zaidi ya kuondoka nikakae sehemu kutafakari. Kwa hiyo style ya kuvua nguo nafikiri utakaa naked mpaka mbu wakutoe roho.
 
Caro, kila mtu ana staili yake ya ku handle mahusiano yake aisee... Sidhani kama kuna utaratibu maalum hata kidogo!

Its good to do it your own way...
 
Sometimes its good also to learn other ways. Ili kuhakikisha penzi laendelea kuchipua. Mimi nataka kuwa mpya now and then through readings inasaidia kuona mapungufu yangu.
Nikisoma baadhi ya point naona kabisa nilichopungukiwa na natafakari namna ya kujenga tabia mpya.

Caro, kila mtu ana staili yake ya ku handle mahusiano yake aisee... Sidhani kama kuna utaratibu maalum hata kidogo!

Its good to do it your own way...
 
I will never say no to knowledge! (utakua umenielewa mpendwa)And doings things your way doesnt mean you have to be monotonous...hata!Ni vizuri sana kujifunza/kusoma na kuongeza ujuzi kwenye mambo mbalimbali ila si lazima ukisomacho ndicho ukifanye, hasha! Waweza tumia na maujanja yajo basi ukapata chako kikufaacho!
 

Nyumba kubwa, ahsante kwa ukumbusho mzuri sana,
ila number 17 mnh?...sidhani kama inaeleweka vizuri siku hizi
muendelezo wa sentensi hiyo ni ["There are times when the most devoted husband or wife needs to be alone."]
 
Nyumba kubwa be blessed kwa kushare nasi hili DESA muhimu... Wadau na namba kumi ni ya msingi sana... nafikiri inaweza kuwa linked na hiyo ya kufight mkiwa naked.
10.Never go to bed angry. (Unless it's 3a.m. and you're exhausted, angry, and not thinking straight.) ..... kinachosisitiziwa hapa ni kutokuziweka tofauti zenu (ugomvi) kwa muda... coz msiposolve kwa wakati inasababisha makubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…