Ni kweli ila ikipatikana sababu huenda asiye mgawaji naye aweza shawishika kugawa....Pa1 sana.Cha msingi uaminifu tu. Kama mkeo si mwaminifu, atagawa tu, hata bila ya lift.
Wakati mwingine kugawa ni hobby, haiitaji sababu!
Yaani hapa Rose u nailed it. Hii ndo solution haswaaaaaaaaaaa.NA WEWE UNAPANDA TENA MBELE unaweka na kishoka babu haaaaaaaaaaaaa wenyewe safari inaenda!!!!!!!
afu unamwomba kidogo akupitishe apo kona kuna kitu waenda cheki wasmama km dk 20 ivi then unarudi unawaambia sor
kesho hatarudia tena akikuona umesimama na mkeo atapita uyoooooooooooooo atajua haupendi!!!!
huwezi kuona tatizo hadi siku utakapomegewa.sijaona tatizo so far,
au labda maelezo hayajitoshelezi
hahahaha!huwezi kuona tatizo hadi siku utakapomegewa.
Akimpa mkeo lifti wewe unakuwepo au? Kama upo naye basi mnapanda wote.Tatizo liko wapi hapo?
Aisee kumbe sio ishu kwako nipe basi namba ya wife wako nianze strategies za kukumegea.hahahaha!
we kumegewa unaona ishu?
pole
bwahahahahahahahahah
Unamuacha apande that day manake ndo kijana mwema keshatoa ombi but mkifika home unampiga stop aache kupanda lift ya huyo kaka au mwengine yoyote
usipende kujiweka katika mazingira yatakayo mruhusu mkeo kuwa karibu na njemba hata mkeo awe mwema vipi
Swali limelenga upande mmoja. naona hebu tuchangie pia ikiwa mwanamke ndo ana gari na mume anamsifia mkewe kuwa dada yule tunafanya nae kazi karibu ni mkarimu kama nini na asubuhi anawakuta wanandoa hao anawapa lift. Hii imekaaje. Maanaake naona watu wanawashambulia tu wanawakeHebu fafanua kidogo, wakati anapita hakumwona na yule kaka? pia huyo dada alimfahamia wapi huyo bwana?
Swali limelenga upande mmoja. naona hebu tuchangie pia ikiwa mwanamke ndo ana gari na mume anamsifia mkewe kuwa dada yule tunafanya nae kazi karibu ni mkarimu kama nini na asubuhi anawakuta wanandoa hao anawapa lift. Hii imekaaje. Maanaake naona watu wanawashambulia tu wanawake
sijaona tatizo so far,
au labda maelezo hayajitoshelezi
WOS,Akimpa mkeo lifti wewe unakuwepo au? Kama upo naye basi mnapanda wote.Tatizo liko wapi hapo?