Kwa wanao jua Nairobi

Kwa wanao jua Nairobi

Korto

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
76
Reaction score
22
Ni sehemu gani Narobi naweza pata spea part za Nissan.
 
Unatembea kidogo, unakatisha kama unaenda kulia utaona kibao cha bluu hapo ukinyooka moja kwa moja upande wa kushoto hivi utakua umefika na ni mtaa huo huo
 
River road, bunyala road grogan, industrial area, everywhere italingana na what you want.. original new, original used, imported second hand, fake etc etc
Thank you very much
 
Back
Top Bottom