Kwa wanao soma UDOM

Kwa wanao soma UDOM

Joined
Sep 9, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Jaman kwa watu wanaosoma UDOM naomba kuuliza kuwa hivi kuna uwezekano wa kubadili pale coz nna mdogo wangu kapangiwa B.sc in physics kwahiyo yeye anadai haipendi kwa jinsi anavopata sifa zake na yeye ana div three ya 13 na anataka kuhamia either nursing or midwife. So kuna huo uwezekano?
 
kubadili, course inawezekana, ila kama una vigezo. lakn kwa hyo 13, duh cjui. pengne aangalie qualfication then ,kama anaqualify, kabla ya registration afuate taratibu tu, watamkubali, ,
 
Jaman kwa watu wanaosoma UDOM naomba kuuliza kuwa hivi kuna uwezekano wa kubadili pale coz nna mdogo wangu kapangiwa B.sc in physics kwahiyo yeye anadai haipendi kwa jinsi anavopata sifa zake na yeye ana div three ya 13 na anataka kuhamia either nursing or midwife. So kuna huo uwezekano?

Inawezekana mwaka jana mwishoni nilikuwa udom kwa interview pale ya assistant lecture nilikuta vijana kibao wakichange course
 
zamani walikuwa wanatoa chance hiyo ila tu atoke kwenye masoma mepesi kama kiswahili aende masomo magumu kama maths na physics. Halafu nursing na hiyo 3 itakuwa ngumu bt awahi tu kuripoti huenda akafanikiwa
 
Back
Top Bottom