Hiyo inafanyika sana mkuu wewe kama unajenga na uko maeneo wanayopitia hao jamaa kabla ya kufika mjini usiwape order subiri wakati anapita amepiga lumbesa yake wewe mpige mkono mwambie nahitaji trip moja hapa chap, haachi utakushushia mchanga au kokoto. Akikiuliza unataka mwingine mwambie hapana akipita mwingine naye fanya hivo utajikuta ukinunua trip mbili unakuwa umepata tatu. Mimi huwa nafanya hivo tu hawanioi shida.Yaaani leo kuna kitu nimejifunza kwa wale wajengaji hii sijui kama mnaijua aya malori liwe la mchanga au kokoto yana utaratibu wana vituo njiani. Wanapunguza mzigo ule ambao wewe uliagiza na ushalipia yaaani wanaoaki wanatoa turubai wanapunguza mzigo wa kutosha wakija site kwako wanafikia kumwaga kumbe mzigo aujajaa kwenye bodi aisee kila Kona watu wanapiga
Ukienda nao machimboni huna tofauti na ule unoletewa site hawatajaza mpaka juu waishia mwisho wa bodi. Labda ukodishe gari uende machimboni ununue mchanga ambao huwa ni elfu 20 mpaka 30. walipe wapakiaji hapo utakuwa na faida.Kwanini mkinunua msiwe kuna kijana mmoja mnamuagiza anaenda nao.
Watamsukuma na kumuua, usijaribu.Kwanini mkinunua msiwe kuna kijana mmoja mnamuagiza anaenda nao.
Ukiniletea trip KUMI,trip zote unazomwaga Niko site....NAKAGUA KILA LORI UNALOLETA...Yaaani leo kuna kitu nimejifunza kwa wale wajengaji hii sijui kama mnaijua aya malori liwe la mchanga au kokoto yana utaratibu wana vituo njiani. Wanapunguza mzigo ule ambao wewe uliagiza na ushalipia yaaani wanaoaki wanatoa turubai wanapunguza mzigo wa kutosha wakija site kwako wanafikia kumwaga kumbe mzigo aujajaa kwenye bodi aisee kila Kona watu wanapiga
Kila mtu ashinde mechi zake!Anaenunua kapiga hela za dili, anaeuza kapigwa na trafiki, na wewe kakupiga kidogo,
Vikifika site una mpiga fundi kwenye leba chaji na yeye anakupiga kwenye material! Wenye viwanda wanakupiga kwenye vipimo vya material, yaaani KUPIGWA NI STAIL YA MAISHA KAMA MPIRA HADI USHINDI UPATIKANE!
Ukiona mtu hapigi huyo hayupo mchezoni
Hii ndiyo dawa yaoUkiniletea trip KUMI,trip zote unazomwaga Niko site....NAKAGUA KILA LORI UNALOLETA...
Anaenunua kapiga hela za dili, anaeuza kapigwa na trafiki, na wewe kakupiga kidogo,
Vikifika site una mpiga fundi kwenye leba chaji na yeye anakupiga kwenye material! Wenye viwanda wanakupiga kwenye vipimo vya material, yaaani KUPIGWA NI STAIL YA MAISHA KAMA MPIRA HADI USHINDI UPATIKANE!
Ukiona mtu hapigi huyo hayupo mchezoni