Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi imenikuta hii.....hii ni kawaida boss wangu ukitaka trip 10 bas utaletewa 7
hiyo boss wangu sasa inavotamkwa utasikia "boswangu"😂😅hii ni kawaida boss wangu ukitaka trip 10 bas utaletewa 7
Hiyo inafanyika sana mkuu wewe kama unajenga na uko maeneo wanayopitia hao jamaa kabla ya kufika mjini usiwape order subiri wakati anapita amepiga lumbesa yake wewe mpige mkono mwambie nahitaji trip moja hapa chap, haachi utakushushia mchanga au kokoto. Akikiuliza unataka mwingine mwambie hapana akipita mwingine naye fanya hivo utajikuta ukinunua trip mbili unakuwa umepata tatu. Mimi huwa nafanya hivo tu hawanioi shida.
Aiseee [emoji3][emoji3][emoji3]Wakifukuzwa kazi wanaanza kulialia na kwenda kusumbua waganga
Sahihi sanaIpo hivii. Unauziwa kile ulicholipia. Kipimo cha mchanga mara nyingi huwa ni 'rati' ama level ya body lakini driver akienda machimbo huwa anapakia 'lumbesa' ile oversize halafu kabla hajakuleteahupunguza kilichozidi kisha anakuletea mali yako.
Kama ukitaka lumbesa mwambie nae atakupa bei ya lumbesa kama unataka rati stakupa bei yake na kama ukilia zaidi atakuletea wa thamani ya hela yako.
Pale mteja haibiwi na kama ukiona unaibiwa basi akija kushusha kagua kabla hajashusha ama ukienda kuongea nae kuhusu bei akuoneshe mahali ujazo utakapoishia
Daaah we jamaaa umenichekesha sanaaaaahiyo boss wangu sasa inavotamkwa utasikia "boswangu"[emoji23][emoji28]