Kwa wanaoenda JKT tu,someni hii na uliza chochote

ucwatishie bana... haina haja ya kujiandaa kimazoezi ki hivyo, jeshi lina silabas nzuri sana, hata kama hujawahi kukimbia tangu uzaliwe utaweza tu coz huwa wanaanza mdogo mdogo
 
Sina Leaving certificate,kitambulisho cha shule ninacho,nitapokelewa?
Kama una cheti Academic certificate ya OLevel ni vizuri ukatoa copy ukaenda nayo.
 
ucwatishie bana... haina haja ya kujiandaa kimazoezi ki hivyo, jeshi lina silabas nzuri sana, hata kama hujawahi kukimbia tangu uzaliwe utaweza tu coz huwa wanaanza mdogo mdogo
Sijawatisha,ningetaka kuwatsha ningepost,lkn nimewapa tu lonja la uko
 
ila kumbuka UKIMWI is every where.... so take when u will be there especially dadas
 
Wasichana msipende ukaribu na maafande for no reason or just kwa sababu unataka akusaidie usifanye baadhi ya kazi au mazoezi..Utagegedwa!!!

Usisahau pocket money,hii ni kwa sababu kwa mwezi mmoja wa kwanza mara nyingi huwa hawatoi ile posho(Wanadhani mtajongomea kurudi home kwa kutumia posho kama nauli)..kwa hiyo hiyo posho itakusaidia mambo mengi mengi ikiwemo ziada ya chakula maana kwa zile kazi zao,chakula kile huwa hakimtoshi kabisa kuruti.

Usisahau trunk..wenyewe wanaita soldier box..hili utatunzia vitu vyako kama kombati na buti..jeshini huwa kuna kuibiana sometimes(wenyewe wanaita kusogeza)..ukiibiwa ndugu yangu kama sio mwepesi utakula ngarambe..pia kuna baadhi ya vikosi maafande wanayauza

Ikiwezekana smuggle baadhi ya dawa muhimu kama antibiotics,antimalarial na aftershaves au spirit..jeshini unatibiwa kijeshi so sometimes unaumwa hiki unapewa dawa za kile..ila hospitali uende cause ile c ni ya muhimu

Kwa mnaoenda 821 Kikosi Cha Jeshi Bulombora Kigoma..msisahau kwenda na viatu vigumu cause ardhi ya kule itakumalizia viatu kabla hamjapewa viatu vyao..nenda na shuka usiteseke na baridi wakati wa uzalendo

Muwe wepesi,fungueni moyo,muwe na morali,kipendeni chombo,msijitokelezeshe sana(ming'ao),imbeni sana zile nyimbo,miezi mitatu sio mingi yatakwisha

AG ........ Service Man Ze Heby
OP Miaka 50 Ya JKT,First Intake
821 KJ Bulombora Kigoma
 
sehem nzuri ya kujifunza maisha unayosimuliwa au muvi ulizowai kuona hasa watt mboga saba. utajifunza na kufanya mambo ambayo hujawai fanya kabisa. Kijeshi hakuna linaloshindikana.(utaikuta iyo slogan)

kwa wadada msipende mteremko (kuangushia) lazma utagegedwa nafkir hii principle ipo kote dunian. so fungua moyo kajifunze uzalendo na mazoezi.
 

Senior wangu umetisha mzazi.Nakusalimia Jambo Afandeeeeee......
 
Hakuna haja ya kuhofu.Kule kuna watu kama ww ila wao ni askari na ww ni raia.Cha msingi Tii Amri.Maisha ya kudoji na kuingia mitini,wadogo zangu kule ni kosa kubwa.Ukiumwa sema usifiche ugonjwa,hii inaweza kukisababishia matatizo.
Mwisho,Fungua moyo,Lipende Jeshi na always jitaidi kuimba hasa wakat wa mbio na usiku inasaidia kuongeza morali.
Nawatakia safari njema na kozi njema na kila siku muombe Mungu atakusaidia.Siku 90 ni kidogo sana
 
Wazi Afandeee wape lonja hao waondoe mitero. Sifa kunywa maji mengi. Wale wa kujitolea kule wana ham nao sana usipende kukaa peke yako peke yako kaa na wenzako ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…