apakak
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 898
- 661
Vipi kuhusu pocket money. yahitajika ili niweze kusurvive?
Huitaji pocket money.Utakuwa unapewa posho ya kutosha kila mwisho wa mwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu pocket money. yahitajika ili niweze kusurvive?
na mwisho ni mjitahidi msiwe ming'ao kwa utashindwa hata kubana job
Sijawatisha,ningetaka kuwatsha ningepost,lkn nimewapa tu lonja la ukoucwatishie bana... haina haja ya kujiandaa kimazoezi ki hivyo, jeshi lina silabas nzuri sana, hata kama hujawahi kukimbia tangu uzaliwe utaweza tu coz huwa wanaanza mdogo mdogo
Kama una cheti Academic certificate ya OLevel ni vizuri ukatoa copy ukaenda nayo.
ila kumbuka UKIMWI is every where.... so take when u will be there especially dadas
Wasichana msipende ukaribu na maafande for no reason or just kwa sababu unataka akusaidie usifanye baadhi ya kazi au mazoezi..Utagegedwa!!!
Usisahau pocket money,hii ni kwa sababu kwa mwezi mmoja wa kwanza mara nyingi huwa hawatoi ile posho(Wanadhani mtajongomea kurudi home kwa kutumia posho kama nauli)..kwa hiyo hiyo posho itakusaidia mambo mengi mengi ikiwemo ziada ya chakula maana kwa zile kazi zao,chakula kile huwa hakimtoshi kabisa kuruti.
Usisahau trunk..wenyewe wanaita soldier box..hili utatunzia vitu vyako kama kombati na buti..jeshini huwa kuna kuibiana sometimes(wenyewe wanaita kusogeza)..ukiibiwa ndugu yangu kama sio mwepesi utakula ngarambe..pia kuna baadhi ya vikosi maafande wanayauza
Ikiwezekana smuggle baadhi ya dawa muhimu kama antibiotics,antimalarial na aftershaves au spirit..jeshini unatibiwa kijeshi so sometimes unaumwa hiki unapewa dawa za kile..ila hospitali uende cause ile c ni ya muhimu
Kwa mnaoenda 821 Kikosi Cha Jeshi Bulombora Kigoma..msisahau kwenda na viatu vigumu cause ardhi ya kule itakumalizia viatu kabla hamjapewa viatu vyao..nenda na shuka usiteseke na baridi wakati wa uzalendo
Muwe wepesi,fungueni moyo,muwe na morali,kipendeni chombo,msijitokelezeshe sana(ming'ao),imbeni sana zile nyimbo,miezi mitatu sio mingi yatakwisha
AG ........ Service Man Ze Heby
OP Miaka 50 Ya JKT,First Intake
821 KJ Bulombora Kigoma