Kwa wanaofahamu, naombeni muongozo wa jinsi ya kusajili kikundi cha hisa na mikopo

Kwa wanaofahamu, naombeni muongozo wa jinsi ya kusajili kikundi cha hisa na mikopo

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Naam naona kichwa cha habari kimejitosheleza, naomba mjuzi anipe muongozo wa utaratibu mzima wa usajili.
 
Ukitaka kufanikiwa lazima ulambishe watu asali, mchakato wake ni Brela na BOT.

Umeandika kwa kifupi na nakufahamisha kwa kifupi.
 
Ukitaka kufanikiwa lazima ulambishe watu asali, mchakato wake ni Brela na BOT.

Umeandika kwa kifupi na nakufahamisha kwa kifupi.
Asante, application unafanya online au?
Na kama ni online, namba muongozo wa website au portal husika
 
Back
Top Bottom