I Idrissou02 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2018 Posts 354 Reaction score 656 Jul 23, 2022 #1 Naam naona kichwa cha habari kimejitosheleza, naomba mjuzi anipe muongozo wa utaratibu mzima wa usajili.
Naam naona kichwa cha habari kimejitosheleza, naomba mjuzi anipe muongozo wa utaratibu mzima wa usajili.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 24, 2022 #2 Ukitaka kufanikiwa lazima ulambishe watu asali, mchakato wake ni Brela na BOT. Umeandika kwa kifupi na nakufahamisha kwa kifupi.
Ukitaka kufanikiwa lazima ulambishe watu asali, mchakato wake ni Brela na BOT. Umeandika kwa kifupi na nakufahamisha kwa kifupi.
I Idrissou02 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2018 Posts 354 Reaction score 656 Jul 24, 2022 Thread starter #3 Matola said: Ukitaka kufanikiwa lazima ulambishe watu asali, mchakato wake ni Brela na BOT. Umeandika kwa kifupi na nakufahamisha kwa kifupi. Click to expand... Asante, application unafanya online au? Na kama ni online, namba muongozo wa website au portal husika
Matola said: Ukitaka kufanikiwa lazima ulambishe watu asali, mchakato wake ni Brela na BOT. Umeandika kwa kifupi na nakufahamisha kwa kifupi. Click to expand... Asante, application unafanya online au? Na kama ni online, namba muongozo wa website au portal husika
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 24, 2022 #4 Idrissou02 said: Asante, application unafanya online au? Na kama ni online, namba muongozo wa website au portal husika Click to expand... Ni online, ila kama uchumi unakuruhusu mpate mtu akufanyie, si rahisi kama unavyofikiri.
Idrissou02 said: Asante, application unafanya online au? Na kama ni online, namba muongozo wa website au portal husika Click to expand... Ni online, ila kama uchumi unakuruhusu mpate mtu akufanyie, si rahisi kama unavyofikiri.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Jul 24, 2022 #5 Matola said: Ukitaka kufanikiwa lazima ulambishe watu asali, mchakato wake ni Brela na BOT. Umeandika kwa kifupi na nakufahamisha kwa kifupi. Click to expand... Scartch my back and I'll scartch yours
Matola said: Ukitaka kufanikiwa lazima ulambishe watu asali, mchakato wake ni Brela na BOT. Umeandika kwa kifupi na nakufahamisha kwa kifupi. Click to expand... Scartch my back and I'll scartch yours
I Idrissou02 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2018 Posts 354 Reaction score 656 Jul 24, 2022 Thread starter #6 Matola said: Ni online, ila kama uchumi unakuruhusu mpate mtu akufanyie, si rahisi kama unavyofikiri. Click to expand... Naomba ntajie iyo website ya kufanyia usajili
Matola said: Ni online, ila kama uchumi unakuruhusu mpate mtu akufanyie, si rahisi kama unavyofikiri. Click to expand... Naomba ntajie iyo website ya kufanyia usajili